Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Sasa utafikaje hadi level za masters if you are not intelligent. Kwa mtu ambae yupo educated to masters level ina maana he is also logical in his reasoning.Ndo maana nikasema kwenyw shule anajitahidi ila hata wakazi tu ana mzidi kwenyw kujenga hoja!!
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Nimewahi kusikiliza interview yake aliulizwa random question if not mistaken ilikuwa kuhusu psychology, kina cha ufahamu alichokionyesha wakati anajibu kwenye topic nikajua huyu mtu ni wa kujifunza mengi kimya kimya.
Binafsi ukiniuliza mashairi ya mziki wake vipi kwakweli kusikiliza mwanzo mwisho siwezi, but academically FA namkubali.