Uchaguzi 2020 Pierre Liquid atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini, asema Msigwa anang'oka pale

🔥🔥🔥🔥bado mtu wa bongo fleva flan nasubiri atangaze nia
 
Mwana FA usimweke kwenye hilo kapu ana masters of Business Administration (not sure if it’s MBA) ila ana masters. Siyo masters degree ya online he physically attended Coventry University.
Hiyo masters aliipataje huku alipata zero form 6, au alianza form I tena???
 
😂😂😂😂😂😂 hi kali
Pierre Liquid anaingia bungeni kutetea haki ya wanywaji na punguzo la kodi kwenye vinywaji.
Toka wanaojiita walokole wanaosimamia bei na taratibu za kuuza kilevi wamejikuta wamepungukiwa mapato ya serikali yatokanayo na ulevi kwa sababu ya kodi kubwa na masharti ya kuuza vileo.
Liquid anataka kulinda mywaji.
 
Ha ha ha hakika sasa ubunge umekuwa kama u monitor wa darasa la 3A ,sasa piere anawekwenda bungeni kugawa vinywaji au kuwa mtunga sera na sheria za nchii hii?

“Mimi natangaza nia ya kwenda kugombea Jimbo la Iringa Mjini. Mimi kule ndio maeneo ya kwetu kule ndiko alikozaliwa mama, Mchungaji Msigwa anatoka pale,”- Piere Liquid

Ndio maana kuna uzi nilisema ni rahisi sana kuwa mbunge kuliko kuwa mfagiaji wa bunge (angalau mfagiaji anatakiwa kuwa na cheti cha form four,awe na certificate of cleaning and maintenance)bila kusahau ajue lugha zote mbili kwa ufasaha

Pata picha mbunge lina
Harmonize
Piere liquid
Steve Nyerere
Kingwendu
Shilole
Irene Uwoya
Mwana FA

Hatarii hii lazima meza za bunge zipasuke kwa makofi.....mungu atupe uhai tufike Oktoba.
Mwana FA mtoe hapo amesoma vizuri kijana, ingawa siungi mkono kugombea kwake.
 
Muongeze na Goodluck Milinga

Kajinga ako ka bushuti[emoji3]
 
MwanaFA umemweka group moja na Pierre!!!
Duh..
 
Watu wanajisumbua tu... Ni rahisi kupata ubunge kupitia chama kingine kuliko CCM... Magufuli kaona wabunge wengi wanazingua tu... Wengi watatiwa cross... Kama kina Kangi Lugola.. Ndugulile.... Nchambi.. Mansoor... Na wengineo hawana uhakika.. ije kuwa hao wanyoa kiduku?
 
Kwani mbunge ana kazi gani inayowashinda hao akina Pierre?
Moja ya vitu ambavyo mbunge anapaswa kuwa navyo ni sifa ya uwezekano wa kuchaguliwa katika baraza la mawaziri. Kukosekana kuwa na sifa hizo ndani ya wabunge wa CCM kumemlazimisha Magufuli kuwarubuni wabunge wa upinzani kujiunga na CCM ili awateue katika nafasi za uwaziri.
 
Ha ha ha hakika sasa ubunge umekuwa kama u monitor wa darasa la 3A ,sasa piere anawekwenda bungeni kugawa vinywaji au kuwa mtunga sera na sheria za nchii hii?

“Mimi natangaza nia ya kwenda kugombea Jimbo la Iringa Mjini. Mimi kule ndio maeneo ya kwetu kule ndiko alikozaliwa mama, Mchungaji Msigwa anatoka pale,”- Piere Liquid

Ndio maana kuna uzi nilisema ni rahisi sana kuwa mbunge kuliko kuwa mfagiaji wa bunge (angalau mfagiaji anatakiwa kuwa na cheti cha form four,awe na certificate of cleaning and maintenance)bila kusahau ajue lugha zote mbili kwa ufasaha

Pata picha mbunge lina
Harmonize
Piere liquid
Steve Nyerere
Kingwendu
Shilole
Irene Uwoya
Mwana FA

Hatarii hii lazima meza za bunge zipasuke kwa makofi.....mungu atupe uhai tufike Oktoba.
Hope atagombea kwa tiketi ya ccm,vilaza boys
 
SUGU nae ana Elimu gani?
Exposure ni Zaidi ya Elimu...Ana kaandika kitafute...usimdisrepect kama hujamjua vizuri usifanye hilo kosa.
Mradi wa Malaria waliogombea na Marehemu Wazungu hawawezi mpa Pierre.
 
Back
Top Bottom