Uchaguzi 2020 Pierre Liquid atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini, asema Msigwa anang'oka pale

Ndo maana nikasema kwenyw shule anajitahidi ila hata wakazi tu ana mzidi kwenyw kujenga hoja!!

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Sasa utafikaje hadi level za masters if you are not intelligent. Kwa mtu ambae yupo educated to masters level ina maana he is also logical in his reasoning.

Nimewahi kusikiliza interview yake aliulizwa random question if not mistaken ilikuwa kuhusu psychology, kina cha ufahamu alichokionyesha wakati anajibu kwenye topic nikajua huyu mtu ni wa kujifunza mengi kimya kimya.

Binafsi ukiniuliza mashairi ya mziki wake vipi kwakweli kusikiliza mwanzo mwisho siwezi, but academically FA namkubali.
 
Anafaa kuwa mwalimu wa chuo kikuu siyo mwanasiasa !!atakuwa mpiga makofi tu hana huwezo wakujenga hoja za kisiasa,prof hana elimu kubwa ila anajenga hoja vizuri sana,

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Niliona moja ya interview yake hajui hata atakwenda kuwafanyia nini wana muheza!!ana elimu kubwa ya darasani ila kwenye siasa ni mweupe sana sana

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
unataka atangaze kua ataenda kuwafanyia nin wanamuheza akat hajui kma ccm watampitisha au laa?? strategically yuko vizur sana kma hakuropoka wala kukosea utendaji wa mbunge aliepo sasa itamfaidisha zaid natumai balozi adadi Mohammed ambaye ndo mbunge aliepo atakua nimentor wake mzuri
 
Anafaa kuwa mwalimu wa chuo kikuu siyo mwanasiasa !!atakuwa mpiga makofi tu hana huwezo wakujenga hoja za kisiasa,prof hana elimu kubwa ila anajenga hoja vizuri sana,

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Well wapiga kura wenzake huko CCM kwenye mchakato wao ndio wataamua na wana Muheza.

He is not a person of interest to me. Ila usimweke kundi moja na akina Pierre Liquid he is by far superior.
 
Kachero yuko vizuri sana ila mbungeni naye kapoa kweli kweli

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Well wapiga kura wenzake huko CCM kwenye mchakato wao ndio wataamua. He is not a person of interest to me. Ila usimweke kundi moja na akina Pierre Liquid he is by far superior.
Akienda bungeni tu ni wasted talent kwa maana ni mweupw kwenye siasa all in all tumuachi baba atamkaje siku hiyo

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Hata Sugu alipotia nia mara ya kwanza watu walimzodoa hivi hivi .Usishangae Pierre akashinda. Cha muhimu ashinde kura za maoni na CCM wampitishe. Kwani ubunge hauhitaji elimu. Darasa la saba linatosha. Ni wewe tu kuvuta watu kwako.
 
Hahaha, sasa wahehe wa watu wanajigongea ulanzi hiyo kodi ya kilevi hata hawaijui. Akagombee kwenye jimbo lenye walevi wanaoguswa na kodi ili sera yake ieleweke kwa wapiga kura wake!
 
Hahaha, sasa wahehe wa watu wanajigongea ulanzi hiyo kodi ya kilevi hata hawaijui. Akagombee kwenye jimbo lenye walevi wanaoguswa na kodi ili sera yake ieleweke kwa wapiga kura wake!
Lakini hana aibu alijenga hoja yake pale itakapokuwa tiyari mjengoni.
 
Huwa siamini sana maneno ya Mlevi.. Hata Mahakama huwa inachukua tahadhali zote kupokea ushahidi wa Mlevi.. Jamaa anasema Msigwa anatoka yule...as if tayari kawashinda wagombea wenzake ndani ya Chama anachogombea..
Msimwamini Mlevi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…