Uchaguzi 2020 Pierre Liquid atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini, asema Msigwa anang'oka pale

Ubwabwa wa mawe
 
😂😂😂 ikawe kheri kwake.
 
Ndo maana mh anakopa upinzani huko kwake kumejaa aina ya kibajaji na msukuma

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Katiba inasema ajue kusoma na kuandika. Hayo mengine labda unataka kunyima watu haki zao.
Je pale bungeni kazi zinazofanyika kwa akili yako zinahitaji kujua kusoma na kuandika tu??kutunga sera za maendeleo ya nchi,kuchambua vifungu vya sheria,midahalo kuhusu mambo yanayo gusa maslahi mapana ya nchi kama mikataba ya gesi na madini,kusoma na kuandika inatosha??

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
 

Acha dharau mwana FA ni msomi mwenye masters usidhani kila msanii ni mbulula kama wewe,muzikk ni kazi kama zilivyo zingine
Kibajaji na msukuma darasa la 7 na wanawapelekesha sembuse hao
Watwsinwa nini?
 
Kwani wabunge waliopo wana maajabu gani?
Ubunge ni kazi ya kawaida sana, hata akipata Pierre anaiweza vizuri tu, kama Kibajaji ameweza Pierre atashindwa nini?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijua tofauti ya formal na informal education ndipo utajua Sugu au Prof J wapo katika kundi gani.

Wanayoyasimamia leo wameanza kabla hata hawajawa na ndoto za kuja kuwa Wabunge,muulize babako akuhadithie.
Binti unajua mi nna umri gani? Muulize mmeo
 
Mbona Sugu na Prof J made it? Tatizo letu tunadhan kusoma ndio kila kitu
 
Nani aliekuambia maendeleo yanaletwa na mtu anaeongea kiingereza? Huo ni utumwa,
 
Mwana FA bloo angu huyu jamaa umemuweka bahati mbaya au umekusudia?

Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…