Uchaguzi 2020 Pierre Liquid atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini, asema Msigwa anang'oka pale

Tofauti ya Pierre na wafuatao ni ipi?
1. Msukuma
2. Lusinde
3. Mtulia na rafikie Mtolea
4. Sugu
5. Bwege
6. Professor J
7. Lameck Airo
8. Na wengine kibao

Mara nyingi hawa huchangia maada zenye mbwembwe za kisiasa, kitu ambacho Pierre hatoshindwa lakini zile maada ambazo zinazohitaji shule hutowasikia...
 
Kimsingi Bunge letu ni toothless,hata akienda hao kwenda kugonga meza wanafaa
 
Mwana FA ni kichwa mkuu...
 
Yaani kwa CCM ubunge ubunge umekuwa kitu rahisi sana,hadi wenda wazimu wanatamani!
 
Yaani kwa CCM ubunge ubunge umekuwa kitu rahisi sana,hadi wenda wazimu wanatamani!
 
Kama sugu na bulaya wamekuwa wabunge sioni ajabu hao wakiwa wabunge
Hata yeye anayo haki,kila mtu anayo haki hata bia yetu anayo haki kwa ridhaa ya chama na wananchi,hata akiutaka uraisi ni haki yake
 
Kawazidi wote hao elimu dunia,ila ukimsikiliza kwenye siasa ni mweupw mno hakuna kitu labda kama ana kwenda kutunga nyimbo

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Nimemsikiliza mwana Fa alihojiwa, na juzi juzi alikuwapo nafikiri clouds ama wasafi akihojiwa yeye na joe makini, hajui kujenga hoja kabisaaaaaa....joe makini alionekana ndio mkomavu maana anajenga hoja na kujibu maswali kimpangilio.
fa hajui kujenga hoja, siasa hatoiweza labda abebwe nanyimbo zake..
 
Pierre alikua katika hali gani kipindi anatangaza nia😀😀 isije kua liquid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…