Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi kwangu wana jf wote ni bora, lakini bora zaidi kwangu ni eiyer. kuna vitu vingi ameshirikisha hapa jamii forum ambavyo vimenifunza mengi na anapo uzima kuna mengi ya kujifunza kwake. hao mliowataja ni bora lakini kama ni nondo nkwangu ni eiyer ingawa wapo wengi wa namna hio lakini huyu ni bora kwangu. mshana yupo bara lakini yakwake nashindwa kuyaishi.
Mond kuwa makini utatolewa huko,ya JLW yanabaki huko huko
Mond kuwa makini utatolewa huko,ya JLW yanabaki huko huko
OntarioKabla huu mwaka haujaisha lazima tumpate mwanachama bora wa mwaka 2017...Kwasasa hapa JF wajumbe maarufu ni hawa wanne...hivyo tupige kura kumpata Member of the Year!
> The bold
> mshana jr
> Joseverest
> ONTARIO
NB:Zoezi la kupiga kura litafungwa baada ya siku tatu kuanzia leo!
😛 aaaahh nitake radhi mkuuMbona Beef Lasgna hayupo katika kinyang'anyiro?