PIGA KURA:JamiiForums Member of the Year.

PIGA KURA:JamiiForums Member of the Year.

Nani mwanachama bora wa mwaka 2017?

  • The Bold

    Votes: 6 20.0%
  • Mshana jr

    Votes: 10 33.3%
  • Joseverest

    Votes: 8 26.7%
  • ONTARIO

    Votes: 4 13.3%
  • None of The Above

    Votes: 2 6.7%

  • Total voters
    30
Msitupelekesheeee tupeni sifa zao kwanza. Then tuchague hayo majina matano ndio yapigiwe kura. Kwa kifupi mchakato mzima wa kumtafuta mshindi uwekwe wazi
 
Kidogo nimtaje hapa Eiyer nikakumbuka wengi wanapenda MMU so hawamjui na hawajui Jukwaa la Jf Intell..lina vitu na watu gani, ila jamaa kanifunza vingi sana mpaka najiona namm ni mtu nateza kuelezea hoja.. BIG UP KWA EIYER NA Juve2012
mimi kwangu wana jf wote ni bora, lakini bora zaidi kwangu ni eiyer. kuna vitu vingi ameshirikisha hapa jamii forum ambavyo vimenifunza mengi na anapo uzima kuna mengi ya kujifunza kwake. hao mliowataja ni bora lakini kama ni nondo nkwangu ni eiyer ingawa wapo wengi wa namna hio lakini huyu ni bora kwangu. mshana yupo bara lakini yakwake nashindwa kuyaishi.
 
Bdo,hili zoezi hatujashirikishwa hata kuchagia majina yatakayo pendekezwa.
 
Back
Top Bottom