Piga Kura: Kati ya John Heche na Ezekiah Wenje nani anafaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa?

Piga Kura: Kati ya John Heche na Ezekiah Wenje nani anafaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa?

Kati ya John Heche na Ezekiah Wenje ni nani anafaa zaidi kuwa Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

  • John Heche

    Votes: 249 94.0%
  • Ezekiah Wenje

    Votes: 16 6.0%

  • Total voters
    265
  • Poll closed .

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
===
Wakati zikiwa zimesalia siku kadhaa kwa chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA kuwapata Viongozi wake mbalimbali wa ngazi ya Taifa.

Kwa mujibu wa kalenda ya Chama kabla ya Uchaguzi huu wa ngazi Uenyekiti kuanzia trh 13.01.2025 chaguzi zitaanza kwa ngazi ya Mabaraza.

Kwa wiki kadhaa sasa pamekuwepo na mnyukano mkali baada ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na msaidizi wake Bwana Tundu Lissu wakati kura zikionesha Lissu ndio Mshindi wa jumla.


NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI

Ushindani mkali uko baina ya John Wegesa Heche na Hezekial Dibogo Wenje,
HIVYO TUNAOMBA PIGAKURA YA MAONI YAKO KWA FAIDA YA CHADEMA NA WANACHADEMA

===
Jambo muhimu pia lazima kuzingatia Viongozi hawa wanachaguliwa kwa mafungu ( in pairs)
IMG-20250105-WA0171(1).jpg

1. MTIANIA JOHN HECHE
John Heche yeye amegombea ili kumsaidia Tundu AM Lissu



===
IMG-20250105-WA0172(1).jpg

2. MTIANIA EZEKIAH WENJE
Ezekiah Wenje huyu yeye amesema anagombea ili kumsaidia Freeman Mbowe.
 
Tukubali tu ukweli Wenje ni mtoto mdogo sana kwa John Heche. Kisiasa na kimapambano, nadhani John Heche yuko kwenye level nyingine kabisa.

Hata kuna siku alisimama mbele ya Magufuli kule Tarime enzi za utawala wake, hakika kijana aliongea kwa kujiamini sana.
 
Kura yako ni Batili kwa sababu kuna Wagombea wengine watatu wanakuja kutangaza kwamba wamechukua fomu, sasa hao utawaweka wapi?

Hoja yako ilipaswa kusubiri majina mengine
 
Sio lazima wagombea wote washindanishwe katika kura za maoni.
Hivyo mleta mada yuko sahihi kwa 100%.
Hoja yangu ni hii, wanaomuunga mkono Lissu wataongezeka na wanaomuunga mkono Mbowe wataongezeka, sasa ukiweka hao akina Wenje na Heche pekee utakuwa hautendi haki
 
Kura yako ni Batili kwa sababu kuna Wagombea wengine watatu wanakuja kutangaza kwamba wamechukua fomu, sasa hao utawaweka wapi?

Hoja yako ilipaswa kusubiri majina mengine
Hao wengine achana não , competitors wa kweli ni Heche na wenje.

Hao wengine watakuwa KENGE NA MIJUSI kwenye msafara wa Mamba
 
Back
Top Bottom