Piga Kura: Kati ya John Heche na Ezekiah Wenje nani anafaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa?

Piga Kura: Kati ya John Heche na Ezekiah Wenje nani anafaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa?

Kati ya John Heche na Ezekiah Wenje ni nani anafaa zaidi kuwa Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

  • John Heche

    Votes: 249 94.0%
  • Ezekiah Wenje

    Votes: 16 6.0%

  • Total voters
    265
  • Poll closed .
Heche kashacheza karata zake vby, atatusamehe.
 
Kura yako ni Batili kwa sababu kuna Wagombea wengine watatu wanakuja kutangaza kwamba wamechukua fomu, sasa hao utawaweka wapi?

Hoja yako ilipaswa kusubiri majina mengine
Kila uchaguzi kuna wale top wawili wanakuwa wanapewa nafasi zaidi......hata uchaguzi mkuu kuna wagombea hadi kina Hashim Rungwe Spunda
 
Kura yako ni Batili kwa sababu kuna Wagombea wengine watatu wanakuja kutangaza kwamba wamechukua fomu, sasa hao utawaweka wapi?

Hoja yako ilipaswa kusubiri majina mengine
Wewe ni mbowe mnatapanya kura za Lisu na Heche kwa kuweka mamluki wenu
 
Wenje aendelee tu kusimamia business za Abdul
 
mmeambiwa pigeni kura yenu ya maoni....hayo mengine mnatoa wapi
 
Wenje ni nani jamani. Hebu angalia hapo huo mstari wa Heche ulivyo.
 
Hoja yangu ni hii, wanaomuunga mkono Lissu wataongezeka na wanaomuunga mkono Mbowe wataongezeka, sasa ukiweka hao akina Wenje na Heche pekee utakuwa hautendi haki
Elewa, Wanashindanishwa Heche na Wenje. Siyo Mbowe na Lissu.
 
Back
Top Bottom