Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akija Lema Kati yao?Hao wengine achana não , competitors wa kweli ni Heche na wenje.
Hao wengine watakuwa KENGE NA MIJUSI kwenye msafara wa Mamba
Nadhani hiyo ilivyo ikae hivyo hivyoHeche anafaa kugombea Uenyekiti, Lissu Umakamu.
Mwisho ni Leo, Lemma Yuko kwa Lissu na HecheHata akija Lema Kati yao?
Haya ni matumizi mabaya ya kura , tuweserious kidogoZingatia Viongozi hawa wanachaguliwa kwa mafungu ( in pairs)
View attachment 3193046
MTIANIA JOHN HECHE
1. John Heche atamsaidia Tundu Lissu
View attachment 3193047
MTIANIA EZEKIAH WENJE
2. Ezekiah Wenje atamsaidia Freeman Mbowe.
Hoja yangu ni hii, wanaomuunga mkono Lissu wataongezeka na wanaomuunga mkono Mbowe wataongezeka, sasa ukiweka hao akina Wenje na Heche pekee utakuwa hautendi haki
Mkuu, kweli wewe ni Mtoto wa Shule. "Elimu haina mwisho" Hata vitabu vya Dini vina lijua hilo.Lissu ni Mbelgiji
Mkuu, itakuwa poa tu; Lisu akimaliza mi 5, anamwachia Heche, hakuna litakalo haribika, bora tu democrasia kwenye Kanuni za Uchaguzi zina zingatiwa.Heche anafaa kugombea Uenyekiti, Lissu Umakamu.
Hapo umenena, but lema tunataka awe katibu mkuu!!!Hata akija Lema Kati yao?
Kwahiyo Heche na Wenje nao ni watoto maana mmoja nimesoma nae, mwingine nimefanya nae kazi?Mkuu, kweli wewe ni Mtoto wa Shule. "Elimu haina mwisho" Hata vitabu vya Dini vina lijua hilo.
Mkuu umeongea kama kiutani lakini upo sahihi kabisa..Huyo ni team Odinga kitambo na Jaluo mwenzie ObettoWenje ni Jaluo wa Kenya 🐼😂😂
Kura yako ni Batili kwa sababu kuna Wagombea wengine watatu wanakuja kutangaza kwamba wamechukua fomu, sasa hao utawaweka wapi?
Hoja yako ilipaswa kusubiri majina mengine
Huna hoja uchawa unakusumbua tuHoja yangu ni hii, wanaomuunga mkono Lissu wataongezeka na wanaomuunga mkono Mbowe wataongezeka, sasa ukiweka hao akina Wenje na Heche pekee utakuwa hautendi haki
Mkuu, wewe jina lako si Mtoto wa Shule?Kwahiyo Heche na Wenje nao ni watoto maana mmoja nimesoma nae, mwingine nimefanya nae kazi?
Wakiongezeka utawekwa uzi mwingine kuwajumuisha. Kwa kuwa sasa hawapo, basi asiyekuwepo na lake halipo.Hoja yangu ni hii, wanaomuunga mkono Lissu wataongezeka na wanaomuunga mkono Mbowe wataongezeka, sasa ukiweka hao akina Wenje na Heche pekee utakuwa hautendi haki