===
Wakati zikiwa zimesalia siku kadhaa kwa chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA kuwapata Viongozi wake mbalimbali wa ngazi ya Taifa.
Kwa mujibu wa kalenda ya Chama kabla ya Uchaguzi huu wa ngazi Uenyekiti kuanzia trh 13.01.2025 chaguzi zitaanza kwa ngazi ya Mabaraza.
Kwa wiki kadhaa sasa pamekuwepo na mnyukano mkali baada ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na msaidizi wake Bwana Tundu Lissu wakati kura zikionesha Lissu ndio Mshindi wa jumla.
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• TUNDU AM LISSU-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Tanzania ni yetu sote!! Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda...
www.jamiiforums.com
NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI
Ushindani mkali uko baina ya John Wegesa Heche na Hezekial Dibogo Wenje,
HIVYO TUNAOMBA PIGAKURA YA MAONI YAKO KWA FAIDA YA CHADEMA NA WANACHADEMA
===
Jambo muhimu pia lazima kuzingatia Viongozi hawa wanachaguliwa kwa mafungu ( in pairs)
View attachment 3193046
1. MTIANIA JOHN HECHE
John Heche yeye amegombea ili kumsaidia Tundu AM Lissu
===
View attachment 3193047
2. MTIANIA EZEKIAH WENJE
Ezekiah Wenje huyu yeye amesema anagombea ili kumsaidia Freeman Mbowe.