Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Karibu jimboni Nyamagana. Wapiga kura wanajua brother.
Sawa mtoto wa mjini. Kwa huku Kinondoni ukisema mtoto wa mjini kuna tafsiri nyingi sana.Nukuu "penda kazi usipende ofisi".
madhira.
maslai
Piga kura yako kwa mtoto wa mjini
Weka cv yako acha ubabaifuNukuu "penda kazi usipende ofisi".
Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.
Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako mbele.
Sisi bado tupo hatupungui na hatuishiwi kamwe. Tunazidi tu kuchipua tena tuna nguvu zaidi ya jana.
Karibu
Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)
MWANZA - NYAMAGANA STAND UP
Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob.Kampeni imeruhusiwa?
Watu waingie viwanjani?
Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob.Weka cv yako acha ubabaifu
Brother mimi ni 26 namba. Mtoto wa mjini.Mtoto wa mjini maana yake [mojawapo] ni mhuni, wasalimie Wenje na Masha.
Haahaa Nyamagana hakuna tabia za kinondoni brother. Ukiwa Mwanza - Nyamagana ulizia Masalu Jacob mtoto wa mjini utapata habari.Sawa mtoto wa mjini. Kwa huku Kinondoni ukisema mtoto wa mjini kuna tafsiri nyingi sana.
Nitake radhi brother. Mimi sio muhuni. Mimi ni bonge moja la mstaarabu Nyamagana Mwanza wanajua.
Kipindi cha kampeni za uchaguzi bado. Kwa kufanya hivyo ulivyofanya unamuweka mahala pabaya sana huyo mgombea mtarajiwa.Nukuu "penda kazi usipende ofisi".
Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.
Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako mbele.
Sisi bado tupo hatupungui na hatuishiwi kamwe. Tunazidi tu kuchipua tena tuna nguvu zaidi ya jana.
Karibu
Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)
MWANZA - NYAMAGANA STAND UP
Nukuu "penda kazi usipende ofisi".

Brother mimi ni 26 namba. Mtoto wa mjini.
Karibu jimboni Nyamagana - Mwanza piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob.