Piga Kura

# aliye kati - huyu kwake mahari ili yakamilike lazima pawepo geleni/ dumu la pombe, ni mlevi mbwaa.

# kushoto - ni mkulima wa zamani, anachohitaji yeye ni hela ya pembejeo.

#kulia - mshirikina, atapokea mahari lakini harusi haitofanyika.
 
Huyo wa kati unaweza kumuita pembeni ukampa maokoto kidogo tu kisha akawageuka wenzake na kukubali jambo liwe,

Huyo wa kushoto wanakuaga walokole lia lia hao,kifupi hadanganyiki huyo,

Huyo wa kulia anajali sana mambo ya mila na desturi,anaweza kugoma kwa kitu kidogo tu,hua wanajifanya wapo straight kwa kila kitu.
 
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…