sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kulikuwa na sheria ambayo ilikuwa inawawekea vikwazo wapalestina wanaoishi israel kuleta wake au waume zao ambao wapo upande wa israel kwa sababu za kiusalama hapo zamani.
Kura zimepigwa leo juu ya kuendeleza hii sheria na cha ajabu kina Netanyahu ambao walikuwa wana piga kura kwa vipindi tofauti kuiwekea msisitizo hii sheria leo hii wamepiga kura kuitoa hio sheria.
Naona saizi Israel kabla hawaja shambulia gaza wawe makini sana maana kikulacho tayari ki nguoni mwao. Tulizoea mashambulizi ya roketi kutoka Gaza ila kwa sasa kwa hii tiketi mpalestina akichokozwa ana shughulika na wa israel humo humo ndani ya israel 💥💥
Kazi kweli kweli, Haya sasa wapalestina haooo 😎😎 na venye wanavyozaliana kwa speed acha tu.
Siasa ni kama mchezo tu kwa wanasiasa, wataopitia huu mziki ni wananchi wa kawaida, lazima kiumane tu huko mitaani.