Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Waafrika tufanye Nini?????😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sky soldier Nakuona unawashobokea hao Israel kama kwamba ni nduguzo sasa wewe ni hofu yako ? Vile wakiwapiga Mabomu Wapelestina na kuwauwa wewe unafurahia au na weye ni Muisraeli.Hebu wacha Pumba zako .Mimi naona poa Palestina na yy akipata chinja tu .Who care.Kuna vitu vinasikitisha ila ukianza kuanglaia chanzo unaona ni upuuzi unafanyika inabidi ucheke tu kwa ujinga wa wanaofanya watu wachache huku ukidononeka kwa maafa yatayowakuta wengi.
Netanyahu kakasiriks kutolewa uwaziri ndio kageuzia kisasi kiwe kwa kufanya maisha ya wa israel yawe magumu zaidi, haiingii akilini miaka yote nyuma yeye na chama chake walikuwa wanapiga kura za ndio hio sheria ya kuwalinda wa israel iendelee kutumika ila saizi katoswa anaanza kupiga kura ya hapana akijua kabisa ni hatari wapalestina kuzidi kujaa israel maana hata hasira za mashambulizi yaliyopita bado hazijapoa kwa wapalestina, This is messed up.