Pigo kwa kambi ya Mabachela TBC: Mtangazaji Asheri Thomas Mwaipopo afunga Ndoa

Pigo kwa kambi ya Mabachela TBC: Mtangazaji Asheri Thomas Mwaipopo afunga Ndoa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Asheri Mwaipopo ni mtangazaji wa TBC na amefunga Ndoa takatifu na Godliver David Yanga kwenye Kanisa la Baptist Kolosai huko Wilayani Tunduma Mkoani Songwe

FB_IMG_16301674787694818.jpg
 
Asheri Mwaipopo Ni mtangazaji wa TBC na amefunga Ndoa takatifu na Godliver David Yanga kwenye Kanisa la Baptist Kolosai huko Wilayani Tunduma Mkoani Songwe

View attachment 1913136
Wataachana tu wataachana tuuu

Hivi ndivyo nilikuwa natest microphone mpaka nikafukuzwa kwenye sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mapicha yotee haya utasikia "kugongewa ni kawaida" utasikia "kitanda hakizai haramu".

Ndoa BANA.

Nyie oeni sisis wengine TUTAOA kwa Mungu.

#YNWA
Baada ya miaka 2 bwana harusi utasikia"Kugongewa ni kawaida" dah huwa nawaonea sanaa huruma wanaume wanao oa..!!!!

#YNWA

Kwanini usimuwazie yaliyo mema!?
 
Wataachana tu wataachana tuuu

Hivi ndivyo nilikuwa natest microphone mpaka nikafukuzwa kwenye sherehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi wewe ni shetani au wakili wake??.

Vita ya ndoa ni kubwa sana. Yaani hata watu hawajaishi siku mbili wengine wanapanga kuwaachanisha
Mungu atusaidie
 
Kwanini usimuwazie yaliyo mema!?
Angalia post zao humu...
1. Mara ""Dah mwanaume we hakikisha wanao wanakula huyo mwanamke achana na maisha yake""
2. Mara ""Kugongewa kawaida braza, kwani we mwanaume huchepuki?""
3. Utawasikia,"Akagongwe tu ila nisijue"

Ukitaka kujua ugumu wa ndoa chunguza kazini kwako yanayoendelea..!!!!

Pole Liverpool VPN
Ukitaka furaha ya ndoa muombe Mungu akupe mke wako halafu na wewe kuwa mume wake
Mapungufu madogodogo yanaweza kuwepo lakini furaha ninkubwa zaidi.

Mungu atusaidie
 
Pole Liverpool VPN
Ukitaka furaha ya ndoa muombe Mungu akupe mke wako halafu na wewe kuwa mume wake
Mapungufu madogodogo yanaweza kuwepo lakini furaha ninkubwa zaidi.

Mungu atusaidie
Mapungufu ya kugongwa nje?

#YNWA
 
Hongera kwao Asheri Mwaipopo na Godliver Yanga

Karibuni sana chama kubwa, chama la wenye mikataba ya maisha

Mungu aeliyewaunganisha aendelee kuwatunza 😍🙏
Mh

Ova
 
Mapungufu ya kugongwa nje?

#YNWA

Kugonga na kugonngwa nje ni matokeo ya mapungufu mengine na sio pungufu pekee, yapo mapungufu mengine mengi yanayopelekea hilo na hayo ndio mapungufu makubwa zaidi

Na Kugonga na kugongwa nje ni tabia ya mtu na imani zetu zina miongozo sahihi kwa hilo
 
Kaoa au kabariki ndoa? Ina maana alikuwa bado hajaoa? Ila ndoa ni nzuri na tamu, shetani anapoingia inakuwa ni chungu, uchungu wa ndoa ni usaliti
 
Back
Top Bottom