Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

Sijawahi kuona waislam wanamsusia marehemu. Wana ushirikiano sana kwenye misiba, taarifa zikitolewa chaap wamefika shughuli inaanza.
Ni waislam siyo? Wakatoliki wao wana taratibu zao. Huwezi kuwa jambazi na huhudhurii kanisani halafu ikifika siku ya mazishi unataka kanisa likuzike.
 
Ndo hivyo tena Thadei Ole Mushi kaenda motoni milele na milele kwa kosa la kupinga waraka wa kanisa takatifu katoliki la mitume, ushirika wa watakatifu, maondoleo ya dhambi ufufuko wa miili na uzima wa milele.
Ameen, R.I.P
 
Hili swala la kanisa katoliki kususia ibada za mazishi kwasababu tu marehemu labda alikua hashiriki jumuiya ndogo ndogo au alikua hana sakramenti ya ndoa au tu kama ishu kama hii ya Thadei na kususia ni wazi inakosea tunahukumu tumejeuka Mungu sasa
 
Kuzikwa ni kuzikwa tu hata ukitupwa.

Ukizikwa kikristo ama kiislam hakuna kitachoongeza mwili wako utaoza na kubaki mifupa na kututengenezea rutuba udongoni.
Sawa Je Thadei Ole Mushi aliamini kama unavyoamini? Kama ndivyo basi msilaumu Kanisa.
 
Si Ujinga. Ni Imani. Ikiwa Unaamini Mafundisho ya Kanisa na kuyafuata utazikwa kwa utaratibu wa Kanisa. Na Kanisa litahusika Kuzika miili ya Waumini Marehemu waliokufa kayika Hali ya Neema ya Utakaso.

Huamini usilie lie.
 
Kati ya vitu vya kipumbavu ambavyo kanisa katoliki huwa wanafanya mojawapo ni hili, mtu ameshafariki alikuwa muumini katika imani, unakataa kumuwekea misa eti kwa sababu hakutoa zaka, aliwapinga, hakuhudhuria Jumuiya , hoja za kipumbavu kabisa!!
 
Sasa wewe nani kalazimisha kanisa lifuate matakwa yangu? Mimi nimesifia tu upande wa pili
Kwa kusifia tu umeliasi kanisa hatutahangaika na hicho kibody chako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndio maana Vatican ni nchi, sio utaratibu alioanzishaYesu, ni siasa. Sishangai!
 
kosa kubwa wakatoliki huwa wanalifanya, ni mapadre kujiona wao ni miungu watu wanaowapeleka watu kwa Mungu, ndio maana hata kama unasali kwao kama huendi jumuiya wanaweza kukuadhibu namna hiyo. padre anaogopwa, anaheshimiwa kuliko chochote, wakati ni wanadamu tu, wazinzi tu na wezi tu hawana lolote na watakua wa mwisho kufika mbinguni I tell you.
 
Wambie maana hawajui kua Pope ni mwakilishi wa Yesu hapa duniani. Asemacho Pope amesema Yesu.
 
Kwa kusifia tu umeliasi kanisa hatutahangaika na hicho kibody chako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hahahaha shoga zangu wa buza watanizika bila mchungaji๐Ÿ˜‚.
Afu yule mtoto wangu amekumiss eti
 
Kati ya vitu vya kipumbavu ambavyo kanisa katoliki huwa wanafanya mojawapo ni hili, mtu ameshafariki alikuwa muumini katika imani, unakataa kumuwekea misa eti kwa sababu hakutoa zaka, aliwapinga, hakuhudhuria Jumuiya , hoja za kipumbavu kabisa!!
Sio lazima kuwa mkatoliki...nenda kwingine ambako hakuna utaratibu bwashee
 
Kati ya vitu vya kipumbavu ambavyo kanisa katoliki huwa wanafanya mojawapo ni hili, mtu ameshafariki alikuwa muumini katika imani, unakataa kumuwekea misa eti kwa sababu hakutoa zaka, aliwapinga, hakuhudhuria Jumuiya , hoja za kipumbavu kabisa!!
Fuateni taratibu za Kanisa lenu kama huziwezi ni bora ukae pembeni mapema na utafute panapokufaa uabudu huko.

Ukikubali kukaa katikati ya waumini kubali pia kufuata miongozo yao.
 
Na kanisa wasiposhiriki kwenye shughuli za mazishi, Marehemu anapungukiwa nini?

Kwanzaa hizi misa zinaulazima gani? Binadam tumejiwekea mfumo wa kihovyo. Azikwe au lah wonโ€™t change any thing ,and Mushi is at peace now

Kabla ya katolic, watu walikuwa wanazikwa vip
Dini ni institutions km institutions nyingine
Dini hazitoki kwa mungu. Dini zinatoka kwa binadamu ndio maana haya hutokea
 
Hahahaha shoga zangu wa buza watanizika bila mchungaji๐Ÿ˜‚.
Afu yule mtoto wangu amekumiss eti
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwambie nameleta biskuti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ