Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

BAADHI YA CCM HAWATAKIWI KUZIKWA KABISA.....NI KUCHOMWA NA MAJIVU YARUSHWE ANGANI
 
Washarika ungeni mkono ushoga uliotangazwa na Papa msije kususiwa mazishi!
 
Sasa mbona tunalalamika?
 
Ni ubabaishaji tu!πŸ˜•
Unajuwa maana ya Jumuiya au unasema upuuzi tu bila kujua chochote
Yaani wewe ushirikiani na wenzako then uje upate tatizo watu waje kwako
Kama umeamua kujitenga jitenge hadi kwenye matatizo yako. Sio ukipata tatizo uanze kutafuta huruma za watu
 
Ila ukitoa sadaka hawa
Ukitoa sadaka hawakuulizi kama unahudhuria jumuiya wala kama unafahamika. Wanachukua Ila siku ukifa maswali yanaanza
Yaan una akili ndogo kama Pandas
Kwa hiyo unataka watu wanapotoa sadaka waulizwe?? Unajielewa kweliπŸ˜…
Kuna viongozi wa jumuiya ambao ndio wanawajua waumini wao kuliko hata Padre sababu ndio wanaishi nao mtaani
Jumiya ina maana kubwa sana ndani ya kanisa kama ujui kuna mambo mengi yanayoendelea ndani ya jumuiya
Jumiya ni kama familia ya kikristo katika mtaa husika hivyo kuna mambo mengi yanafanyika ndani ya Jumiya kama michango pale mmoja wapo wa familia anapopatwa na matatizo kukutana pamoja wanajumuiya kusali na kujadili mwenendo wa jumuiya walau mara moja kila wiki hasa jumamosi. Ambapo wengi wao wanakuwa free

Sasa nikuulize wewe umeamua kujitenga na jumuiya unapopatwa tatizo kitu cha kwanza kanisa linarudi kwenye jumuiya yako kuuliza kama wewe ni muumini wetu au laah kwa sababu jumuiya ndio inakujua zaidi kuliko askofu. Wasije wakazika mtu ambaye sio muumini

Sasa wewe umeamua kujitenga mwenyewe na jumuiya ukipatwa na tatizo usianze kutia huruma coz hicho kitu kila mkatoriki anajua na huo ni utaritibu wa muda mrefu wa kanisa so unapotaka kujibu kitu tafuta details sio unaandika utumbo tu bila kufikiria.
 
Ngoja tuone wataenda sehemu Gani motoni au , mana huyu inaonekana alikuwa mtu wa kusifu na kuabudu
 
Yani ni vitu vya kushangaza sana, mtu anajitenga mwenyewe alafu baadae analalamika kuwa kanisa limemtenga.
 
Mnaosema papa hatumpingi..tumempinga mpk unywele wake...
 
Jamani ee hizo ni sheria zetu fateni zenyu...
###hatupangwingwi##
Shughulikeni na yenyu
 
Kama ilivyo ndoa ya kiserikali, hata mazishi yawepo ya kiserikali.

Italeta uwiano kwa wasio na dini au waliopinga kitu kisichoeleweka.
 
PONGEZI KWA KANISA KATOLIKI KWA UAMUZI HUO WA BUSARA WAJINGA WAJINGA KAMA THADEO MUSHI hayo ndio Malipo ya Rushwa aliyopewa na ccm ili alikane KANISA aishabikie ccm kama Msaliti Yuda alipomkana YESU

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 


Hili sio pigo kwa Marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…