Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

Ole Mushi ni mwalimu aliyejichanganya .

Mara Yuko srikalini ni mwajiriwa, mara Yuko Chadema ni mwanachama, mara Yuko CCM ni chawa.

Hivi alikuwa na watoto huyu bwana.
 
Mimi nilikuwa Arusha bwana Mrema wa Impala alipofariki. Kwa viwango vya kati pengine vya juu, Mrema alikuwa tajiri- alimilki Impala hotel, Ngurdoto hotel, Naura springs hotel, Classic tours, bureau de change kadhaa etc. Kanisa halikutoa huduma rasmi ktk mazishi yake, bila kujali utajiri wake, bali liliangalia kama alikuwa mshirika ktk kanisa au la!. Hakuwa mshirika hivyo hakustahili huduma ile.
Kuhusu marehemu Tadei Mushi, kama kweli kanisa halikutoa huduma, huku mitandaoni hutapata jibu ni kwanini.
Utaratibu wa kanisa katoliki ktk haya masuala unaeleweka wazi na wakatoliki (walio hai ktk ukatoliki). Mtu anapofariki, jumuiya yake hupeleka taarifa parokiani kuthibitisha kuwa huyu alikuwa mshirika hai ktk jumuiya, na hivyo paroko/padri anapata uhalali wa kutoa huduma.
Kama marehemu anasafirishwa kuzikwa mbali na alipofia, lazima barua iandikwe na paroko wa eneo alilokuwa anashiriki kwenda kwa paroko wa anakoenda kuzikwa kuthibitisha kuwa huyu anastahil huduma.
 
Mungu wa Mbinguni anayebariki watu, akubariki utokapo na uingiapo. Amina
 
Kumbuka lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa kwa kadri ya imani yetu ya kikatoliki.pia hilo ni fundisho kwa wapenda rushwa na chawa wao.
 
Sijawahi kuona waislam wanamsusia marehemu. Wana ushirikiano sana kwenye misiba, taarifa zikitolewa chaap wamefika shughuli inaanza.
Nishaona wengi sana waliosuswa na kuzikwa kisela na pia sheikh flani kutolewa sehemu nyingine kwa kitu kidogo ili kuombea marehemu.
 
Sasa Hapo Niseme Tu Ukweli Wakatoliki Wote Waliopo CCM Wameasi Bila Kusema Kuandika Hadharani
 
Hili ni funzo kwamba tusithubutu kushirikiana na shetani

Hujui dini wewe
Wewe mpumbavu wa chadomo umeshupaza shingo na kanisa la mashoga
Au kwa vile ni alikuwa CCM
Mbuzi kabisa wewe
Na hao TEC wote ni genge la mashoga, haiwezekani mwanaume akatazwe kuoa, ndio mwanzo wa kuliwa mtaro
 
Kama alikuwa ametengeneza na Mungu kabla hajafa hata maiti yake ingetupwa baharini yeye tayari roho yake inakuwa Paradiso! Lakini kama hakutengeneza maisha yake na Mungu kabla hajafa, hata angefanyiwa misa na Papa haisaidii!
Mungu atusaidie kingali anatupa pumzi tutengeneze maisha yetu ili tukiondoka dunia tukapumzike kwa amani.
 
Marahemu hapungukiwi kitu maana ameshafariki. Mtihani na aibu hubaki kwa waliobaki (ndugu).
Sidhani kama kuna mtihani au aibu hapo kwa ndugu waliobaki kwani issue ni je, Marehemu amezikwa?. Marehemu akishazikwa, bila kujali kazikwa-zikwaje yatazungumzwa/jadiliwa kichinichini tuu(Wala sio kwa mhemuko sana) na baada ya siku 3-4 tanga likianuliwa, kila mtu anaendelea na shughuli zake - mchezo umeisha.
 
Vipi kuhusu na wale wakatoliki waliopinga hadharani waraka wa Papa kuhusu kuwabariki mabwabwa. Nao watatengwa? Wakifa watagomewa kuzikwa kikatoliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…