Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

Mambo ya Imani...
Very complicated.....
Kwa hiyo ule usemi kilichofungiwa duniani, na mbinguni kitafungiwa.....
Upo applicable? Unapatikana kitabu gani..?
Tukumbushane jamani.
 
Mwamposa alishasema;wakikataa kumzika mtu mpigieni simu chap fuso tano zimejaa wachungaji zinatumwa kuja kuzika.
 
Rc wamejaa ubaguzi sana.
Waumini makapuku wanazikwa na Katekista ama Mwenyekiti wa jumuia.
Akiwa na uwezo kidogo ama anafahamika basi atakuja Padre,
Akipanda kidogo basi anakuja Paroko
Ukiwa maarufu sana ama tajiri mkubwa atakuja Askofu tena bila maswali maswali..hata kama ukiwa na wake wengi wanakuzika.
Hii dunia hiii mmmmh
 
Kuna vitu vinachekesha sana.Kwaio kwenye ukristo huruhusiwi kupinga vipi hao maaskofu waliopinga tamko la papa inakua wameasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…