Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wanaenda kula ubwabwa tu hawana lolote badae wanazika wanatimka.Sijawahi kuona waislam wanamsusia marehemu. Wana ushirikiano sana kwenye misiba, taarifa zikitolewa chaap wamefika shughuli inaanza.
Lakini hapa tunazungumzia wakatolikiKwan kuna mahali tumesema mungu ni wa wskatoliki tu
Kuwepo kwa habari hii ni dalili tosha kuwa marehemu amepungukiwa. Angekuwa hajapingukiwa, isingekuwa habariNa kanisa wasiposhiriki kwenye shughuli za mazishi, Marehemu anapungukiwa nini?
Na wao ndio walioratibu uandishi wa hiyo hiyo bible unayoitumia. Nipo tayari kukuwekea jinsi Kanisa (hapa namaanisha RC) walivyoratibu uandishi wa bible, na wewe ujiandae kionyesha hiyo bible ya vitabu 66 uliitoa wapi kama sio subset ya bible ya RCKifupi wakatoliki sera zao zinapingana sana na bible,
Nilitegemea kama upo makini ungejiuliza ni kwa nini ndugu wasimzike tu, badala yake waende mara mbili kuomba ibada ya mazishiKwani ukiswaliwa wakati umefariki ndio unaenda huko mbinguni usemapo?
upuuzi mtupu...hovyo kabisa RcKanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari, uliotolewa tarehe 18 August 2023 na TEC.
Thadei Ole Mushi alipinga hadharani waraka wa TEC, kupitia andiko lake la tarehe 18 August 2023 lenye kichwa cha Habari "WARAKA WA MAASKOFU SIO ITHIBATI ZA MAONI YA WATANZANIA"
Juzi ndugu na msemaji wa familia Bwana Victor Tesha, alitangazia dunia kwamba ibada ya mazishi ya kumuaga ndugu yetu Thadei Ole Mushi kwa Dar es Salaam ingefanyika katika kanisa la St. Peter - Oysterbay.
Lakini watu wengi ikiwemo mimi tulipofika kanisa la St. Peter's Oysterbay, tulikuta milango ya kanisa imefunga na hakuna dalili ya kuwepo kwa misa yoyote.
Uamuzi wa haraka kutaarifu watu waelekee Muhimbili katika kanisa la Pamoja (siyo Katoliki) ukafanyika na pakaendeshwa ibada na mapadre ambao ni marafiki wa karibu wa Thadei Ole Mushi na siyo Paroko anayehusika katika parokia yake ya Muhimbili.
Leo familia imekwaa tena kisiki kingine Mkoani Kilimanjaro, Uru nyumbani kwa Thedei Ole Mushi baada ya Parokia ya Uru nyumbani kwa marehemu kugomea kuendesha mazishi na kufunga milango kiasi cha kupelekea kutafutwa kwa wachungaji wa madhehebu ya Kipentekoste pale Uru.
Baadae ibada ikaendeshwa na kasisi akiwa amevaa t-shirt nyeusi na sio mavazi halisi ya ibada kwa mujibu wa taratibu. Na wala hakukuwa na kwaya ya Kanisa.
Wajuzi na wasomi wa kanisa Katoliki wanasema ukipinga Waraka wa Maaskofu ni sawa na kuasi kanisa kwa kukataa mafundisho yake, hivyo kama utafariki kabla ya kurudishwa kundini utakuwa umefariki kama muasi nje ya kanisa na hivyo kanisa halitohusika na mazishi yako.
Hili ni Somo kubwa na funzo kwa wanasiasa na watu wote ambao tulikuwa hatujui uzito na maana ya waraka wa baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ambao hutolewa na kusomwa makanisa yote ya waumini wao.
Kama na wewe ni muuumini wa kanisa katoliki na unajua uliropoka na kupinga lolote kuhusu waraka ule wa TEC fanya haraka urudishwe kundini.
VIJANA🙄
mnooo hakuna mkamilifu hapa dunianiKifupi wakatoliki sera zao zinapingana sana na bible,
Kwanza kitendo cha kumtenga mtu kwa jambo la kidunia ni la ajabu sana, na hii ni ego ya kitima kujiona yuko smart
Wanakwenda kinyume mafundisho yao.Si wanasemaga anaehukumu ni Mungu tu?
Ukitoa sadaka hawakuulizi kama unahudhuria jumuiya wala kama unafahamika. Wanachukua Ila siku ukifa maswali yanaanzaSi inasemekana kama Jumuiya haikutambui, huduma za Kikanisa hupati?
Wachungaji walienda kufanya nini? Kwa ajili ya nini?Kwani ukiswaliwa wakati umefariki ndio unaenda huko mbinguni usemapo?
Bilionea wa Arusha na mahela yake yote lakini kanisa halikushiriki mazishi yake.Rc wamejaa ubaguzi sana.
Waumini makapuku wanazikwa na Katekista ama Mwenyekiti wa jumuia.
Akiwa na uwezo kidogo ama anafahamika basi atakuja Padre,
Akipanda kidogo basi anakuja Paroko
Ukiwa maarufu sana ama tajiri mkubwa atakuja Askofu tena bila maswali maswali..hata kama ukiwa na wake wengi wanakuzika.
Hii dunia hiii mmmmh
Wanahubiri kusamehe saba mara sabini ikiwa wao hawatekelezi binadamu siku zote anazikwa na asiyo wajua aibu yao hao Tec!Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari, uliotolewa tarehe 18 August 2023 na TEC.
Thadei Ole Mushi alipinga hadharani waraka wa TEC, kupitia andiko lake la tarehe 18 August 2023 lenye kichwa cha Habari "WARAKA WA MAASKOFU SIO ITHIBATI ZA MAONI YA WATANZANIA"
Juzi ndugu na msemaji wa familia Bwana Victor Tesha, alitangazia dunia kwamba ibada ya mazishi ya kumuaga ndugu yetu Thadei Ole Mushi kwa Dar es Salaam ingefanyika katika kanisa la St. Peter - Oysterbay.
Lakini watu wengi ikiwemo mimi tulipofika kanisa la St. Peter's Oysterbay, tulikuta milango ya kanisa imefunga na hakuna dalili ya kuwepo kwa misa yoyote.
Uamuzi wa haraka kutaarifu watu waelekee Muhimbili katika kanisa la Pamoja (siyo Katoliki) ukafanyika na pakaendeshwa ibada na mapadre ambao ni marafiki wa karibu wa Thadei Ole Mushi na siyo Paroko anayehusika katika parokia yake ya Muhimbili.
Leo familia imekwaa tena kisiki kingine Mkoani Kilimanjaro, Uru nyumbani kwa Thedei Ole Mushi baada ya Parokia ya Uru nyumbani kwa marehemu kugomea kuendesha mazishi na kufunga milango kiasi cha kupelekea kutafutwa kwa wachungaji wa madhehebu ya Kipentekoste pale Uru.
Baadae ibada ikaendeshwa na kasisi akiwa amevaa t-shirt nyeusi na sio mavazi halisi ya ibada kwa mujibu wa taratibu. Na wala hakukuwa na kwaya ya Kanisa.
Wajuzi na wasomi wa kanisa Katoliki wanasema ukipinga Waraka wa Maaskofu ni sawa na kuasi kanisa kwa kukataa mafundisho yake, hivyo kama utafariki kabla ya kurudishwa kundini utakuwa umefariki kama muasi nje ya kanisa na hivyo kanisa halitohusika na mazishi yako.
Hili ni Somo kubwa na funzo kwa wanasiasa na watu wote ambao tulikuwa hatujui uzito na maana ya waraka wa baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ambao hutolewa na kusomwa makanisa yote ya waumini wao.
Kama na wewe ni muuumini wa kanisa katoliki na unajua uliropoka na kupinga lolote kuhusu waraka ule wa TEC fanya haraka urudishwe kundini.
VIJANA🙄
Mimi nikifa hata padri asipofika fresh tu nizikwe na raia.Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari, uliotolewa tarehe 18 August 2023 na TEC.
Thadei Ole Mushi alipinga hadharani waraka wa TEC, kupitia andiko lake la tarehe 18 August 2023 lenye kichwa cha Habari "WARAKA WA MAASKOFU SIO ITHIBATI ZA MAONI YA WATANZANIA"
Juzi ndugu na msemaji wa familia Bwana Victor Tesha, alitangazia dunia kwamba ibada ya mazishi ya kumuaga ndugu yetu Thadei Ole Mushi kwa Dar es Salaam ingefanyika katika kanisa la St. Peter - Oysterbay.
Lakini watu wengi ikiwemo mimi tulipofika kanisa la St. Peter's Oysterbay, tulikuta milango ya kanisa imefunga na hakuna dalili ya kuwepo kwa misa yoyote.
Uamuzi wa haraka kutaarifu watu waelekee Muhimbili katika kanisa la Pamoja (siyo Katoliki) ukafanyika na pakaendeshwa ibada na mapadre ambao ni marafiki wa karibu wa Thadei Ole Mushi na siyo Paroko anayehusika katika parokia yake ya Muhimbili.
Leo familia imekwaa tena kisiki kingine Mkoani Kilimanjaro, Uru nyumbani kwa Thedei Ole Mushi baada ya Parokia ya Uru nyumbani kwa marehemu kugomea kuendesha mazishi na kufunga milango kiasi cha kupelekea kutafutwa kwa wachungaji wa madhehebu ya Kipentekoste pale Uru.
Baadae ibada ikaendeshwa na kasisi akiwa amevaa t-shirt nyeusi na sio mavazi halisi ya ibada kwa mujibu wa taratibu. Na wala hakukuwa na kwaya ya Kanisa.
Wajuzi na wasomi wa kanisa Katoliki wanasema ukipinga Waraka wa Maaskofu ni sawa na kuasi kanisa kwa kukataa mafundisho yake, hivyo kama utafariki kabla ya kurudishwa kundini utakuwa umefariki kama muasi nje ya kanisa na hivyo kanisa halitohusika na mazishi yako.
Hili ni Somo kubwa na funzo kwa wanasiasa na watu wote ambao tulikuwa hatujui uzito na maana ya waraka wa baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ambao hutolewa na kusomwa makanisa yote ya waumini wao.
Kama na wewe ni muuumini wa kanisa katoliki na unajua uliropoka na kupinga lolote kuhusu waraka ule wa TEC fanya haraka urudishwe kundini.
VIJANA🙄
Kwani kutoendesha ibada ya mazishi ndio kuhukumu? Kuna kitu hamuelewi hapa. Kanisa Katoliki hutoa huduma za kiroho kwa Wakatoliki tu. Kwa mujibu wa taratibu za kiroho, Ole Mushi hakuwa MkatolikiSi wanasemaga anaehukumu ni Mungu tu?
Kanisa Katoliki huwa halibembelezi maana haifanyi biashara. Kama Kingunge Ngombale Mwiru na Ruge Mutahaba walikataliwa ibada, sembuse wewe?Mimi nikifa hata padri asipofika fresh tu nizikwe na raia.
Japo sikuwa nakubaliana kuuzwa kwa bandari, lakini kwani mtu haruhusiwi kuwa na mawazo huru? Siasa za namna hii zitalipasua taifa. No wonder, waumini wa kanisa siku hizi wanatanga tanga kwa mwamposa, mara sijui kwa nani kwa sababu ya mambo kama haya