Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

Kwa waislam maiti anastahili nne kuoshwa,kuvikwa sanda,kusaliwa na kuzikwa na hakuna atakayenyamyapaa maiti kumuombea Kisa marehemu alikaa dp world,sasa Leo unayesimamia usafi wa roho kukataa kumuombea muumini Kisa alikupinga kuhusu dp world ni sehemu ya misiba ktk dini yetu.
 
Yeye na Marehemu Bilionea Mrema wa Ngurdoto nani ana hela nyingi na nani aliechangia shughuli nyingi za kanisa hasa kwaya? Bilionea Mrema alizikwa bila Padri.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Hii ni tafsiri kuwa kanisa Katoliki haliwezi kubadilisha taratibu kisa una fedha nyingi au una mamlaka, kanisa Katoliki sio chawa wa mtu. Ndio maana watu wanasoma vizuri waelewe Maandiko Matakatifu, Sheria za kanisa, Falsafa na Historia ya kanisa.
 
Kama huwezi ku comply na tatatibu za sehemu hamia kule kwingine unapoona unaweza kufuata taratibu zao, usilazimishe Kanisa Katoliki lifuate matakwa yako.
Sasa wewe nani kalazimisha kanisa lifuate matakwa yangu? Mimi nimesifia tu upande wa pili
 
Kwa hiyo huyu, kwa Mungu huko mbinguni hatapokelewa? Mimi nafikiri muhimu ni Mungu akupokee mja wake.Kwa waislamu hata kama umekufa sehemu haina waislamu, na wakakuzika wao,kitakachokusaidia huko uendeko ni matendo yako mema,kuacha mabaya aliyokataza Mungu, na kufuata alichoamrisha Mungu ndio muhimu.
 
Hii nihara dini hii utumwa mi mkristo ila nabadili dini ,Hii dini biashara
Ndio ukwwli huo.Katika uislamu sio lazima aje Sheikh,Imam,Maalimu.Hata wanao,watoto wa ndugu,wanafamilia,wasio waislamu,majirani,utazikwa tu.Kitakachokusaidia huko uwendako ni matendo yako mema,kuacha aliyokataza Mungu,na kufanya aliyoamrisha.
 
YOU ARE RIGHT KAMA HUAMINI UWEPO WA mUNGU.
kwa hiyo wewe unasema je labla maana pumzi ikishaachana na mwili, huo mwil hata umtupie mbwa km alikuwa mtu wa mungu haitabadili chochote, kwani mwil ni km kasha tuu halina uhai tena, yaan hata ukizikwa na papa haibadili chochote,
 
Hizi ni sheria za Kanisa na sio za kushtukiza, kila mkatoliki aliye hai na ajue ya kwamba ashirikiane na kanisa kipindi cha Uhai wake ili kanisa lishiriki nae hata siku yake ya MWISHO HAPA DUNIANI.

Kila mkatoliki ajue ya kwamba kuziishi amri za Mungu na Sheria za Kanisa ni jambo la muhimu na Msingi katika maisha yake ya Duniani, Maisha ya Duniani yasituhadae tukasahau ushirikiano wetu na Mungu na Kanisa.

Umaarufu wa Duniani usituweke Mbali na Mungu na Kanisa, Ruge, Mrema wa Ngurdoto, Kingunge.. etc. hao wote hawakuzikwa na Kanisa kwa sababu hawakushirikiana na kanisa kipindi cha uhai wao hapa duniani.

ROMA LOCUTA, CAUSA FINITA EST.
 
Na wao ndio walioratibu uandishi wa hiyo hiyo bible unayoitumia. Nipo tayari kukuwekea jinsi Kanisa (hapa namaanisha RC) walivyoratibu uandishi wa bible, na wewe ujiandae kionyesha hiyo bible ya vitabu 66 uliitoa wapi kama sio subset ya bible ya RC
Hili kanisa tuwe nalo makini sana
 
Nawashaurii waumini wao waokoke ndipo watakuwa huruu.
 
Kama Papa anahamasisha ushoga unadhani watu wa chini yake wanaweza kuwa na akili timamu?
 
Hakuna kanisa pale, lile ni kundi la wajanja waliojitengenezea mfumo wao wa kuishi vizuri hapa duniani. Wanawatumikisha waumini wao kuliko enzi za manamba. Wenye akili tulishakimbia huko. Kanisa gani padre ni mhuni na ana roho mbaya kuliko pagani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…