Pigo lingine kwa Hezbollah. Jeshi la Israel lamuua kamanda mkuu wa kikosi cha mizinga na makombora

Hezbollah wamekuwa compromised sana hawajamaa yaani viongozi wao muhimu Ndio wanakufa... Si bure serikali ya Lebanon inawapa Siri za Hezbollah Israel
Lebanon na Hezbollah ni kama Tako na chupi huwezi kuwatenganisha.
 
Lebanon kuna upande wa shia ndio hao hezbollah,
Upande mwingine ni sunni wanaoshirikiana na Christians.
Ndio maana unaona upande unaoshambuliwa ni wa shia, na ule upande wa pili waligoma kupokea wanaokimbia vita japo ni nchi moja.
Acha uwongo watu wamepokelewa makanisani na kupewa hifadhi au unataka ushahidi? Usiwe mwepesi kudaka fitina za wazayuni kwa waarabu.
 
Wananchi wengi wa Lebanon wanaichukua Hezbollah na hata ndani ya jamii za Hezbollah wanachukia unyanyasaji wao, Ni rahisi Israel kupata taarifa
Hivi Kuna Wananchi wanaomchukia Netanyahu na serikali yake kama wayahudi kwa sasa? Hizi habari Huwa mnazipata wapi?
 
Hivi Kuna Wananchi wanaomchukia Netanyahu na serikali yake kama wayahudi kwa sasa? Hizi habari Huwa mnazipata wapi?
Wanaompinga Netanyahu ni kundi dogo la wayahudi tabaka la Hasidic Jews, wanaishi Israel lakini wanasapoti Israel isiwepo na hawataki kujiunga kwenye jeshi la Israel, ajabu ni kwamba wanaishi ndani ya nchi wanayopinga uwepo wake badala ya wao kwenda nchi nyingine, ndio hawa unawaona wakisapoti Palestina, Kutemea mate wakristo, n.k.
 
Acha uwongo watu wamepokelewa makanisani na kupewa hifadhi au unataka ushahidi? Usiwe mwepesi kudaka fitina za wazayuni kwa waarabu.
People are fleeing Southern Lebanon in large numbers.
Meanwhile, Christians in Beirut say, "Displaced muslims from southern Lebanon are not welcome here!"

Clashes occured in the Ain al-Ramanah area, a Christian suburb of Beirut.
The reason: the residents of the Christian suburb refuse to accept in their territory, Nasrallah's Shia Muslims who fled from southern Lebanon.
The Lebanese army was called in to restore order.
 
Source: Trust me Bro
 
Wanaompinga Netanyahu ni kundi dogo la wayahudi tabaka la Hasidic Jews, wanaoishi Israel halafu wanapinga Israel isiwepo badala ya wao kwenda nchi nyingine, ndio hawa unawaona wakisapoti Palestina, Kutemea mate wakristo, n.k.
Kwahiyo wale maelfu kwa maelfu wanaondamana Kila siku Tel Aviv na kwingine na kupambana na police ni kundi dogo siyo? Huna akili
 
Wapo Karibu kijiografia lakini haziivi, Jana watu wa hezbollah walikuwa wanakimbilia miji mingine ya Lebanon walifukuzwa, walioruhusiwa ni wale ambao ni walebanon wapinga Hezbollah
Walebanon wapo christians, Muslims na Others wote ni waarabu.kama ilivyo tu hapa Tanzania hiyo akili yenu ya kulazimisha kuwatenganisha nyie wapuuzi it doesn't work.
 
Kwahiyo wale maelfu kwa maelfu wanaondamana Kila siku Tel Aviv na kwingine na kupambana na police ni kundi dogo siyo? Huna akili
Ndio madhara ya kupuuza elimu dunia, Rudi shuleni ukajifunze topic inaitwa Percentage / Asilimia.

Bila kuzijua percentage utaendelea kuzuzuka, Rudi darasani !!
 
Ndio madhara ya kupuuza elimu dunia, Rudi shuleni ukajifunze topic inaitwa Percentage / Asilimia.

Watu elfu kwenye nchi yenye watu milioni ni asilimia ndogo sana
Kwa hili jibu nimekupuuza . Pumzika wewe siyo size yangu
 
Nimeona sky news wamesema Kuna road traffic kwa masaa zaidi ya 20
 
Kwani huyu kamanda asijifiche kwenye Banker mpaka anajificha gorofani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…