Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lebanon na Hezbollah ni kama Tako na chupi huwezi kuwatenganisha.Hezbollah wamekuwa compromised sana hawajamaa yaani viongozi wao muhimu Ndio wanakufa... Si bure serikali ya Lebanon inawapa Siri za Hezbollah Israel
It is considered the most heavily armed non-state group in the world, with its armed strength assessed to be equivalent to that of a medium-sized army in 2016. In 2021, Hezbollah leader Hassan Nasrallah said the group had around 100,000 fighters.Una uhakika?
Acha uwongo watu wamepokelewa makanisani na kupewa hifadhi au unataka ushahidi? Usiwe mwepesi kudaka fitina za wazayuni kwa waarabu.Lebanon kuna upande wa shia ndio hao hezbollah,
Upande mwingine ni sunni wanaoshirikiana na Christians.
Ndio maana unaona upande unaoshambuliwa ni wa shia, na ule upande wa pili waligoma kupokea wanaokimbia vita japo ni nchi moja.
Wapo Karibu kijiografia lakini haziivi, Jana watu wa hezbollah walikuwa wanakimbilia miji mingine ya Lebanon walifukuzwa, walioruhusiwa ni wale ambao ni walebanon wapinga HezbollahLebanon na Hezbollah ni kama Tako na chupi huwezi kuwatenganisha.
Hivi Kuna Wananchi wanaomchukia Netanyahu na serikali yake kama wayahudi kwa sasa? Hizi habari Huwa mnazipata wapi?Wananchi wengi wa Lebanon wanaichukua Hezbollah na hata ndani ya jamii za Hezbollah wanachukia unyanyasaji wao, Ni rahisi Israel kupata taarifa
Inasaidia kitu gani huku wanakufa?Hizbullah ina askari laki moja plus,hapo mwingine anashika bendera, safari inaendelea
Wamesemaje Mkuu?Umesikia UN walichosema leo?
Wanaompinga Netanyahu ni kundi dogo la wayahudi tabaka la Hasidic Jews, wanaishi Israel lakini wanasapoti Israel isiwepo na hawataki kujiunga kwenye jeshi la Israel, ajabu ni kwamba wanaishi ndani ya nchi wanayopinga uwepo wake badala ya wao kwenda nchi nyingine, ndio hawa unawaona wakisapoti Palestina, Kutemea mate wakristo, n.k.Hivi Kuna Wananchi wanaomchukia Netanyahu na serikali yake kama wayahudi kwa sasa? Hizi habari Huwa mnazipata wapi?
People are fleeing Southern Lebanon in large numbers.Acha uwongo watu wamepokelewa makanisani na kupewa hifadhi au unataka ushahidi? Usiwe mwepesi kudaka fitina za wazayuni kwa waarabu.
Ila hawafi wanakufa watoto na kinamama tu. 😆😆😆Hizbullah ina askari laki moja plus,hapo mwingine anashika bendera, safari inaendelea
Source: Trust me BroPeople are fleeing Southern Lebanon in large numbers.
Meanwhile, Christians in Beirut say, "Displaced muslims from southern Lebanon are not welcome here!"
Clashes occured in the Ain al-Ramanah area, a Christian suburb of Beirut.
The reason: the residents of the Christian suburb refuse to accept in their territory, Nasrallah's Shia Muslims who fled from southern Lebanon.
The Lebanese army was called in to restore order.
View attachment 3105590
Kwahiyo wale maelfu kwa maelfu wanaondamana Kila siku Tel Aviv na kwingine na kupambana na police ni kundi dogo siyo? Huna akiliWanaompinga Netanyahu ni kundi dogo la wayahudi tabaka la Hasidic Jews, wanaoishi Israel halafu wanapinga Israel isiwepo badala ya wao kwenda nchi nyingine, ndio hawa unawaona wakisapoti Palestina, Kutemea mate wakristo, n.k.
Walebanon wapo christians, Muslims na Others wote ni waarabu.kama ilivyo tu hapa Tanzania hiyo akili yenu ya kulazimisha kuwatenganisha nyie wapuuzi it doesn't work.Wapo Karibu kijiografia lakini haziivi, Jana watu wa hezbollah walikuwa wanakimbilia miji mingine ya Lebanon walifukuzwa, walioruhusiwa ni wale ambao ni walebanon wapinga Hezbollah
Wanataka jumuiya ya kimataifa ifanye juhudi kuepusha janga Lebanon.Wamesemaje Mkuu?
Ndio madhara ya kupuuza elimu dunia, Rudi shuleni ukajifunze topic inaitwa Percentage / Asilimia.Kwahiyo wale maelfu kwa maelfu wanaondamana Kila siku Tel Aviv na kwingine na kupambana na police ni kundi dogo siyo? Huna akili
Kwa hili jibu nimekupuuza . Pumzika wewe siyo size yanguNdio madhara ya kupuuza elimu dunia, Rudi shuleni ukajifunze topic inaitwa Percentage / Asilimia.
Watu elfu kwenye nchi yenye watu milioni ni asilimia ndogo sana
Nimeona sky news wamesema Kuna road traffic kwa masaa zaidi ya 20People are fleeing Southern Lebanon in large numbers.
Meanwhile, Christians in Beirut say, "Displaced muslims from southern Lebanon are not welcome here!"
Clashes occured in the Ain al-Ramanah area, a Christian suburb of Beirut.
The reason: the residents of the Christian suburb refuse to accept in their territory, Nasrallah's Shia Muslims who fled from southern Lebanon.
The Lebanese army was called in to restore order.
View attachment 3105590
Hali ni mbaya sana.Nimeona sky news wamesema Kuna road traffic kwa masaa zaidi ya 20
Kwani huyu kamanda asijifiche kwenye Banker mpaka anajificha gorofani?INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN
Rest in Peace
View attachment 3105539
aliekuwa Kamanda wa Hezbollah kikosi cha mizinga, Ibrahim Muhammad Qabisi, ameuawa akiwa ndani ya nyumba aliyojificha jijini Beirut, Lebanon.
Ni baada ya Mossad kupata intelejensia sahihi kwa wakati sahihi na mahali sahihi, wakazifowadi taarifa kwenda jeshi la anga la Israel kummaliza.
View attachment 3105561
View attachment 3105536
The IDF announces that today (Tuesday), September 24, 2024, with the direction of precise IDF intelligence, the IAF struck in the area of Dahieh in Beirut and eliminated the terrorist Ibrahim Muhammad Qabisi, Head of the Missiles and Rockets Force of the Hezbollah terrorist organization. Qabisi was struck alongside additional central commanders in Hezbollah's Missiles and Rockets Force.
Qabisi commanded several missile units within the Hezbollah terrorist organization, including the Precision Guided Missile Unit.
Over the years and during the war, he was responsible for launching missiles toward the Israeli civilians.
Qabisi was a significant source of knowledge in the field of missiles and had close ties to senior military leaders in Hezbollah.
Ibrahim Muhammad Qabisi joined Hezbollah in the 1980s and has since held several significant military roles within the terrorist organization, including as a senior officer in Hezbollah's Operations Unit in southern Lebanon and commanding the Badr Unit on Hezbollah’s Southern Front.
In these roles, he was responsible for planning and executing numerous terror attacks against Israeli civilians and soldiers.