Sex body
JF-Expert Member
- Nov 30, 2023
- 508
- 1,098
Wakuu Habari,naomba niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji kumiliki piki piki ila naomba nipate ushauri ni piki piki gani nzuri ya kununua kati ya hizi Sinoray SR250 & XR650 Or xr250
Hasa ukizingatia upatikanaji wa vifaa vya matengenezo na ubora wa kustahimili barabara za vumbi sambamba na ulaji wa mafuta
NB: Nataka niagize kupitia ALibaba .com natamani kufahau baada ya kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo kufika kuna pesa yoyote ya kulipia?