Piki piki ipi ni imara kwa Barabara zetu za kibongo bongo

Sex body

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2023
Posts
508
Reaction score
1,098
Wakuu Habari,naomba niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji kumiliki piki piki ila naomba nipate ushauri ni piki piki gani nzuri ya kununua kati ya hizi Sinoray SR250 & XR650 Or xr250

Hasa ukizingatia upatikanaji wa vifaa vya matengenezo na ubora wa kustahimili barabara za vumbi sambamba na ulaji wa mafuta

NB: Nataka niagize kupitia ALibaba .com natamani kufahau baada ya kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo kufika kuna pesa yoyote ya kulipia?
 
Kama una uwezo wa kununua XR650 huwezi kuiwaza sino 250 au Xr250
Sawa mkuu ila vipi ubora wake hii xr620 ? Na je mfumo wake wa kuwasha ni kick tu or na starter inakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…