The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
- Thread starter
-
- #41
Yes you can, il the best way ni kwenda kuona, unafanya test ride ndipo unanunua.
Uzuri wa big bike is you have to love it, if you can spend US $ 20,000 for a bike, why don't you spend extra 3,000 ukinunua round trip air ticket, unapewa 3 nights full board kwenye 5 star hotel, na amino usiamini, ukienda mwenyewe, the choice is bigger and the price inashuka!.
Pasco
Big bikes pia ziko za aina mbili, kuna on road/street bike, hizi zinataka lami tuu na kuna off road zinacheza na kote, vumbi na lami.
Kama wewe pia ni mpenzi wa off road, njoo pale viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, kila Jumapili saa 10:00-12:00 bike lovers wa off road wanakuta pale na kufanya fun ride za off road.
Pasco
Big bikes ziko kwa ajili ya matumizi mbalimbali, ziko big bikers za kusafiria masafa marefu, zinaitwa cruising, hizi ukikalia unakuwa kama umekalia kiti cha nyumbani na most zina egemeo la mgongo, zipo zile za sport au racing, ukiikalia unakuwa umebinuka, na ziko zile za leisure ride, yaani kuride for enjoyment only, hizi zinakuwa na sterling ndefu au tairi la mbele kubwa etc.pia hizi bike si unaweza kuzitumia kusafiri masafa marefu?
yes even more for the rich people!, mimi sio tajiri, hivyo sikuweza ku afford kununua brand new, bike yangu ya kwanza na ya pili, nilinunua hapa hapa bongo kwa watu waliotoka nazo nje, bike ya tatu nikaagiza kutoka Japan, bike ya 4 nikainunua nilikuwa UK na ya mwisho ilionifanya mbaya, niliinunua nilipokuwa US, zote zilikuwa used but in good shape, hii ya mwisho mpaka leo sijawahi kuiona kwenye streets za DSM, ni costly but worth it!.Mkuu nimekupa, nimekisia kwa hesabu ya haraka haraka ni kama tsh45milioni ili upate BMW Motor cycle au?
Kwahiyo mkuu kwa hapa bongo hakuna hayo makitu?
Mkuu nimeangalia, BMW ndio chombo cha ukweli, hiyo ya Harleydavidson sio kali halafu haziendani na mazingira ya bongo, pia inaonekana ni kwa ajili ya starehe tu sio masafa ya mbali kwani ni fupi sana.
Km 3 kwa dakika sio spidi ya mchezo Malila. Ukitoka Dar mpaka Durban (4093 km) South Africa utaenda kwa masaa 22 tuu kwa speed hiyo.
Mkuu sio km ni mita 180/h yaani mita 3 kwa dakika, angalia vizuri.
Poa kaka nadhani umeona kwa nini zipo chache sana!!!!!!
Poa mkuu OLESAIDIMU ngoja nifatiliefatilie BMW nione type gani inanifaa.
Amewahi kuzituia kama sikosei na alikuwa anaishi dar na kufanya kazi moro na alikuwa anawahi kila siku kwa type hiyo kama kumbu kumbu zipo sawa.
Mwenzio anataka pikipiki ya masafa marefu. Pikipiki ambayo engine box ni mm 50. Sio utoto wa kichina km 30 unaweza weka sufulia juu ya injine ukakaanga mayai.
Big bikes ziko kwa ajili ya matumizi mbalimbali, ziko big bikers za kusafiria masafa marefu, zinaitwa cruising, hizi ukikalia unakuwa kama umekalia kiti cha nyumbani na most zina egemeo la mgongo...
Mkuu sio km ni mita 180/h yaani mita 3 kwa dakika, angalia vizuri.
Mkuu sio km ni mita 180/h yaani mita 3 kwa dakika, angalia vizuri.
Mkuu sio km ni mita 180/h yaani mita 3 kwa dakika, angalia vizuri.
Wewe nunua pikipiki aina ya BAJA kama unahitaji inayokimbia. Baja ndo pikipiki ya masafa marefu na pia ni imara sana.
acha uongo,toyo haichemshi,hata ukitpka dar hadi mtwara non stop