Pikipiki za masafa marefu (Cross countries)

Pikipiki za masafa marefu (Cross countries)

Yes you can, il the best way ni kwenda kuona, unafanya test ride ndipo unanunua.

Uzuri wa big bike is you have to love it, if you can spend US $ 20,000 for a bike, why don't you spend extra 3,000 ukinunua round trip air ticket, unapewa 3 nights full board kwenye 5 star hotel, na amino usiamini, ukienda mwenyewe, the choice is bigger and the price inashuka!.

Pasco

Mkuu nimekupa, nimekisia kwa hesabu ya haraka haraka ni kama tsh45milioni ili upate BMW Motor cycle au?
 
Big bikes pia ziko za aina mbili, kuna on road/street bike, hizi zinataka lami tuu na kuna off road zinacheza na kote, vumbi na lami.

Kama wewe pia ni mpenzi wa off road, njoo pale viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, kila Jumapili saa 10:00-12:00 bike lovers wa off road wanakuta pale na kufanya fun ride za off road.

Pasco

pia hizi bike si unaweza kuzitumia kusafiri masafa marefu?
 
pia hizi bike si unaweza kuzitumia kusafiri masafa marefu?
Big bikes ziko kwa ajili ya matumizi mbalimbali, ziko big bikers za kusafiria masafa marefu, zinaitwa cruising, hizi ukikalia unakuwa kama umekalia kiti cha nyumbani na most zina egemeo la mgongo, zipo zile za sport au racing, ukiikalia unakuwa umebinuka, na ziko zile za leisure ride, yaani kuride for enjoyment only, hizi zinakuwa na sterling ndefu au tairi la mbele kubwa etc.

Nilipokuwa na bikes 5, nilikuwa na cruise, racing, sport, street na off road.

Pasco
 
Mkuu nimekupa, nimekisia kwa hesabu ya haraka haraka ni kama tsh45milioni ili upate BMW Motor cycle au?
yes even more for the rich people!, mimi sio tajiri, hivyo sikuweza ku afford kununua brand new, bike yangu ya kwanza na ya pili, nilinunua hapa hapa bongo kwa watu waliotoka nazo nje, bike ya tatu nikaagiza kutoka Japan, bike ya 4 nikainunua nilikuwa UK na ya mwisho ilionifanya mbaya, niliinunua nilipokuwa US, zote zilikuwa used but in good shape, hii ya mwisho mpaka leo sijawahi kuiona kwenye streets za DSM, ni costly but worth it!.

Pasco
 
Kwahiyo mkuu kwa hapa bongo hakuna hayo makitu?

Hapa mkuu sijui kama yapo hayo unayoyataka,naona wana.sport bikes tu.

Nimewahi kukutana na Yamaha tu Chalinze 750cc akitoka Dar anaenda Dom yule chalii kuongea naye aliniambia amenunua Uganda na akasema huko zipo bikes kubwa,labda wadau wa Uganda watie neno!!!
 
Mkuu nimeangalia, BMW ndio chombo cha ukweli, hiyo ya Harleydavidson sio kali halafu haziendani na mazingira ya bongo, pia inaonekana ni kwa ajili ya starehe tu sio masafa ya mbali kwani ni fupi sana.

Poa kaka nadhani umeona kwa nini zipo chache sana!!!!!!
 
Km 3 kwa dakika sio spidi ya mchezo Malila. Ukitoka Dar mpaka Durban (4093 km) South Africa utaenda kwa masaa 22 tuu kwa speed hiyo.

Mkuu sio km ni mita 180/h yaani mita 3 kwa dakika, angalia vizuri.
 
Amewahi kuzituia kama sikosei na alikuwa anaishi dar na kufanya kazi moro na alikuwa anawahi kila siku kwa type hiyo kama kumbu kumbu zipo sawa.

Sidhan kama bado anayo maana aliwah kupata ajali akaoja taste ya half dead/ near death
 
Mwenzio anataka pikipiki ya masafa marefu. Pikipiki ambayo engine box ni mm 50. Sio utoto wa kichina km 30 unaweza weka sufulia juu ya injine ukakaanga mayai.

acha uongo,toyo haichemshi,hata ukitpka dar hadi mtwara non stop
 
Wewe nunua pikipiki aina ya BAJA kama unahitaji inayokimbia. Baja ndo pikipiki ya masafa marefu na pia ni imara sana.
 
Big bikes ziko kwa ajili ya matumizi mbalimbali, ziko big bikers za kusafiria masafa marefu, zinaitwa cruising, hizi ukikalia unakuwa kama umekalia kiti cha nyumbani na most zina egemeo la mgongo...

bike ninazohitaji ni zile ndefu kwenda juu na pana.Kwa sababu hizi bmw,suzuki,kawasaki,nk ni fupi.
 
Mkuu sio km ni mita 180/h yaani mita 3 kwa dakika, angalia vizuri.

Mkubwa atakuwa kakosea mita 180 hazizidi viwanja viwili vya mpira. Lazima atakuwa anazungumzia 180kph.
 
Wewe nunua pikipiki aina ya BAJA kama unahitaji inayokimbia. Baja ndo pikipiki ya masafa marefu na pia ni imara sana.

At least baja,lakini cross borders itamuumiza kwa baja. Maana haina facilities na comfortability ataugua mgogo na kifua.
 
Ni fursa hii kwa mtu anayeweza kuleta used bikes. Market ya wateja wa wanaotaka pikipiki zisizotoka China.
 
Back
Top Bottom