Pikipiki za masafa marefu (Cross countries)

Kuna group facebook 1. Hotbikes in Tanzania 2. Kawe motorsports(Tanzania). Huko utakutana na wapenzi wa Hot bikes pia waweza mtu anayeuza pikipiki yake.
 
Wakuu anayefahamu aina hizo za pikipiki anijuze nahitaji kununua.
Ni pikipiki kubwa kimuundo na ni nene, pembeni nyuma huwa na kitu kama begs ngumu. Mara nyingi nawaona nazo raia wa kigeni hasa wanaotokea South Africa....
Chagua hapa kisha tufanye buzy!!!!!
 
Aisee mkuu Pasco ni genius kila thread unayochangia unaweka na evdence yani hii unaonesha ni jinsi gani upo sambamba na Dunia mie ni mpenzi sana wa motorbycle sana sana hizi big lakini ukata ndio unasababisha nitamani instead ya kumiliki asante kwa picha na maelezo ya kina thanks Pasco
 
Chagua hapa kisha tufanye buzy!!!!!

Mkuu mimi sihitaji kupiga dili za kidalali kwani kuna wadau wamesema hapa bongo hakuna dealer wa CROSS countries halafu mimi nahitaji new brand hivyo nategemea kuifuata mwenyewe huko majuu.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu anayefahamu aina hizo za pikipiki anijuze nahitaji kununua.
Ni pikipiki kubwa kimuundo na ni nene, pembeni nyuma huwa na kitu kama begs ngumu. Mara nyingi nawaona nazo raia wa kigeni hasa wanaotokea South Africa.......

2012 Triumph motorcycle. 675cc. 5000kms. excellent condition. asking 13mil.
Piga simu kabla haijaondoka +255755999720




 
Zipo nyingi tu dogo ila bei yake nikuanzia milion 15, 17, na kuendelea na hiyo ni bei ya kununulia tu, bado usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…