Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa ni KM 180 kwa saa.Nunua kinglion uone inavyofanya kazi, naitumia, ina speed meter 180/hr
Chagua hapa kisha tufanye buzy!!!!!Wakuu anayefahamu aina hizo za pikipiki anijuze nahitaji kununua.
Ni pikipiki kubwa kimuundo na ni nene, pembeni nyuma huwa na kitu kama begs ngumu. Mara nyingi nawaona nazo raia wa kigeni hasa wanaotokea South Africa....
All the best kaka, uwe makini barabarani
Wewe nunua pikipiki aina ya BAJA kama unahitaji inayokimbia. Baja ndo pikipiki ya masafa marefu na pia ni imara sana.
Hii hapa ni KM 180 kwa saa
Chagua hapa kisha tufanye buzy!!!!!
Mita 3 kwa dakika ht binadamu hana speed hiyo... Tumpe kinyonga hiyo speed
Hata mimi nilishangaa, ndio maana nikamuuliza aliyetoa hiyo speed hapo juu. Nadhani alitaka kuandika 180km/h yy aliandika m 180/h.
Hayo madude yasije kuwa yanatafuna mafuta na kushushia kama ndege ya rais.
Wakuu anayefahamu aina hizo za pikipiki anijuze nahitaji kununua.
Ni pikipiki kubwa kimuundo na ni nene, pembeni nyuma huwa na kitu kama begs ngumu. Mara nyingi nawaona nazo raia wa kigeni hasa wanaotokea South Africa.......



Hii hapa ni KM 180 kwa saa