Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Hebu weka speed calculation hapa wengine hesabu zinatupiga chenga.
Mwendokasi sawasawa na umbali gawanya kwa muda
Velocity = Distance ÷ Time taken.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu weka speed calculation hapa wengine hesabu zinatupiga chenga.
Hebu weka speed calculation hapa wengine hesabu zinatupiga chenga.
Mwendokasi sawasawa na umbali gawanya kwa muda
Velocity = Distance ÷ Time taken.
Google ; Harleydavidson na BMW motorbikes kuanzia 750cc utakutana nazo!!!!
BMW zipo hapa Kinondoni kwa Mpemba karibu na Makaburi ya kinondoni, kuna ki-super market mjinga kimejaa Wapemba ndio wanaziuza but ni used

Mkuu Inteli, mimi ni bike lover and at one time nilikuwa namiliki 5 big bikes, sasa japo siendeshi tena, lakini bado namiliki bikes 2, off road na on road.Wakuu anayefahamu aina hizo za pikipiki anijuze nahitaji kununua.
Ni pikipiki kubwa kimuundo na ni nene, pembeni nyuma huwa na kitu kama begs ngumu. Mara nyingi nawaona nazo raia wa kigeni hasa wanaotokea South Africa.
Ni pikipiki zenye kasi ya ajabu sana. Naomba kujua hizo pikipiki kama ifuavyo;-
1. Bei yake ya kuinunua
2. Mahali zinapouzwa hapa tz
3. Upatikanaji wa spare parts
4. Mafundi wake
5. Uimara wake/ nchi zinakotoka
Natanguliza shukrani.
Na maharage yanaiva mwisho wa safari yako!
Mkuu Inteli, mimi ni bike lover and at one time nilikuwa namiliki 5 big bikes, sasa japo siendeshi tena, lakini bado namiliki bikes 2, off road na on road.
- Big Bikes are expensive, Bei zina range from US $ 6,000 hadi 18,000 depending on brand and status.
- Bongo hakuna dealers wa big bikes, mahali pa karibu ni South ila ghali, bali kuna watu wachache wanaoleta big bikes ila siku hizi sizioni, na mara moja moja hutokea wazungu wakaziuza bikes zao matangazo unaweza kuyaona sehemu za wazungu wazungu, Slip way, Shoppers etc, Mlimani City etc. Njia rahisi na bei rahisi hivyo the best option ni kuagiza kama wanavyoagiza magari...
Google ; Harleydavidson na BMW motorbikes kuanzia 750cc utakutana nazo!!!!
Mkuu Inteli, mimi ni bike lover and at one time nilikuwa namiliki 5 big bikes, sasa japo siendeshi tena, lakini bado namiliki bikes 2, off road na on road.
- Big Bikes are expensive, Bei zina range from US $ 6,000 hadi 18,000 depending on brand and status...
Yes you can, il the best way ni kwenda kuona, unafanya test ride ndipo unanunua.Naweza kununua kupitia ebay?
cc😛asco
Big bikes pia ziko za aina mbili, kuna on road/street bike, hizi zinataka lami tuu na kuna off road zinacheza na kote, vumbi na lami.mkuu vipi kuhusu hizi adventure bike,unaweza ukasafiri nazo masafa marefu kupitia njia zote yani lami na vumbi??