The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
- Thread starter
- #81
Zipo nyingi tu dogo ila bei yake nikuanzia milion 15, 17, na kuendelea na hiyo ni bei ya kununulia tu, bado usajili.
Zipo wapi kwa hapa dar? tena mpya sio used.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo nyingi tu dogo ila bei yake nikuanzia milion 15, 17, na kuendelea na hiyo ni bei ya kununulia tu, bado usajili.
2012 Triumph motorcycle. 675cc. 5000kms. excellent condition. asking 13mil.
Piga simu kabla haijaondoka +255755999720
View attachment 171165
View attachment 171166
View attachment 171167
Wakuu anayefahamu aina hizo za pikipiki anijuze nahitaji kununua.
Ni pikipiki kubwa kimuundo na ni nene, pembeni nyuma huwa na kitu kama begs ngumu. Mara nyingi nawaona nazo raia wa kigeni hasa wanaotokea South Africa.
Ni pikipiki zenye kasi ya ajabu sana. Naomba kujua hizo pikipiki kama ifuavyo;-
Natanguliza shukrani.
Wakuu anayefahamu aina hizo za pikipiki anijuze nahitaji kununua.
Ni pikipiki kubwa kimuundo na ni nene, pembeni nyuma huwa na kitu kama begs ngumu. Mara nyingi nawaona nazo raia wa kigeni hasa wanaotokea South Africa...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hizo mbona za kawaida sana.
kama hii ni ya kawaida basi jiandae na milioni thelathini kwenda juu mkuu!
Intelligent, ngoja kesho nikipita mitaa yangu nitapiga picha niziweke hapa, then utaniambia ipi umependa nitakuunganisha na jamaa wanaouza!!
Pasco ilikufanya vibaya ilikufanyaje?? Kama una picha ya hizo bike tuwekee tuweze kuona tofaut ya racing bike na hizo zingine ulizozitajayes even more for the rich people!, mimi sio tajiri, hivyo sikuweza ku afford kununua brand new, bike yangu ya kwanza na ya pili, nilinunua hapa hapa bongo kwa watu waliotoka nazo nje, bike ya tatu nikaagiza kutoka Japan, bike ya 4 nikainunua nilikuwa UK na ya mwisho ilionifanya mbaya, niliinunua nilipokuwa US, zote zilikuwa used but in good shape, hii ya mwisho mpaka leo sijawahi kuiona kwenye streets za DSM, ni costly but worth it!.
Pasco
Nazikubali sana
Pascal Mayalla apata ajali.....Pasco ilikufanya vibaya ilikufanyaje? Kama una picha ya hizo bike tuwekee tuweze kuona tofaut ya racing bike na hizo zingine ulizozitaja
Minayo hiyochuma sijawahi kuijutia kabisa , inanipa raha nawaza kuiuza ila moyo unauma sana nimejaribu mara mbili kuinadi na ahirisha
Mkuu vipik2 , you could be right, kwa situation niliuokutana nayo, CT Scan ndio hatua ya pili baada ya full body e-ray. By then CT Scan ya Muhimbili ilikuwa imeharibika, hivyo kufanya CT Scan ni Regency, TZS. 800,000 +200,000 za ambulance yao, TZS. 100,000 per trip!.Kumbe Pasco ndio maana bahari huwa inajaa na kupwa randomly at chaotic movement? Je miaka hiyo hawakuweza kufanya skull CT Scan au waliona sio lazima?
Mkuu vipik2 , you could be right, kwa situation niliuokutana nayo, CT Scan ndio hatua ya pili baada ya full body e-ray. By then CT Scan ya Muhimbili ilikuwa imeharibika, hivyo kufanya CT Scan ni Regency, TZS. 800,000 +200,000 za ambulance yao, TZS. 100,000 per trip!.
Baada ya Muhimbili nilikwenda India, CT Scan na MRI ikafanyika tena, nikamalizia South Africa.
P