Nipo mpendwa.
Pili pili nazo zinasaidia kwa appetite, hata chakula kama hakijanoga waweza kukila na ukakiona kitamu.
Majuzi nlifanya kachori za mapande nkafanya na hio achari. Zilinogaje.
We mtt inaonekana ni mtamu sana.
Hii pilipili tamu ukilia msosi wowote!thnx mpishi 🙂
Hapo sawa mama mkwe,maana nyama choma bila pili pili hainogi
BAK mshana jr The Boss Nyani Ngabu ndetichia MziziMkavu JERRY msigwa,kuchangumu kiwatengu OLESAIDIMU shansarie amu Swts Ennie Chocs Heaven on Earth Kim nana xiexie,mrs kharusy masai dada Kaunga Ablessed Fixed Point FirstLady1 Angel Nylon gorgeousmimi King'asti na wengine
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Shoga kama ulikuepo na mie hufanya hivo hivo tena kachor za mapande zikauke vile kwarukwaru weee na chupa ya maji baridi paleeee
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Toa shukrani kwa aliyekufunza kuipika rafiki, siyo tu kusema haikosekani home, lol!Haikosekani pili pili hii nyumbani kwangu. Na imetokea kupendwa sana na wengi, Thanks to you farkhina kwa kuwa tayari kutufahamisha maujuzi yako mbali mbali ya jikoni.
Toa shukrani kwa aliyekufunza kuipika rafiki, siyo tu kusema haikosekani home, lol!
kwa nini usitie na mafuta ili kuongeza muda wa kutoharibika..Leo tu share pilipili nzuri tu kwa kulia na nyama choma/mishkaki hata samaki huku na ugali wako
Ni rahisi tu.....
Mahitaji
Embe mbichi 5
Pilipili mbuzi
Chumvi kiasi
Tangawizi
Chupa ya kigae kwa ajili ya kuhifadhi pilipili yako...
Saumu
Namna ya kutaarisha.....
Ondoa maembe maganda alafu katakata
Weka kwenye sufuria vitu vyote....
Weka maji kidogo
Chemsha kwa 30 minutes
Wacha ipoe....
Saga mchanganyiko katika blenda
Mimina kwenye chupa..
Hifadhi kwa friji....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Leo tu share pilipili nzuri tu kwa kulia na nyama choma/mishkaki hata samaki huku na ugali wako
Ni rahisi tu.....
kwa nini usitie na mafuta ili kuongeza muda wa kutoharibika..
Shoga kama ulikuepo na mie hufanya hivo hivo tena kachor za mapande zikauke vile kwarukwaru weee na chupa ya maji baridi paleeee
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums