- Thread starter
- #21
Nipo mpendwa.
Pili pili nazo zinasaidia kwa appetite, hata chakula kama hakijanoga waweza kukila na ukakiona kitamu.
Majuzi nlifanya kachori za mapande nkafanya na hio achari. Zilinogaje.
Shoga kama ulikuepo na mie hufanya hivo hivo tena kachor za mapande zikauke vile kwarukwaru weee na chupa ya maji baridi paleeee
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums