Pilipili nzuri ya nyama choma/mishkaki

Pilipili nzuri ya nyama choma/mishkaki

Nipo mpendwa.

Pili pili nazo zinasaidia kwa appetite, hata chakula kama hakijanoga waweza kukila na ukakiona kitamu.

Majuzi nlifanya kachori za mapande nkafanya na hio achari. Zilinogaje.

Shoga kama ulikuepo na mie hufanya hivo hivo tena kachor za mapande zikauke vile kwarukwaru weee na chupa ya maji baridi paleeee

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hapo sawa mama mkwe,maana nyama choma bila pili pili hainogi
 
Last edited by a moderator:
Shoga kama ulikuepo na mie hufanya hivo hivo tena kachor za mapande zikauke vile kwarukwaru weee na chupa ya maji baridi paleeee

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Duh, km hatujanenepa basi tuna nyota ya uzi
 
Haikosekani pili pili hii nyumbani kwangu. Na imetokea kupendwa sana na wengi, Thanks to you farkhina kwa kuwa tayari kutufahamisha maujuzi yako mbali mbali ya jikoni.
Toa shukrani kwa aliyekufunza kuipika rafiki, siyo tu kusema haikosekani home, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii pilipili ndo imefanya wanangu wamekuwa addicted na pilipili. yaani siku hizi ukipika msosi ambao hauna pilipili wananuna.
Niliwaanzishia na hii, wakatikea kupenda sana pilipili. Napataga shida sana kukiwa na wageni
 
ipo na ya giligiliani, kwa nyama choma ni noma.
 
lol!!! hahahaha Rafiki mbona nimetoa rafiki? Ile nyingine si nilipoteza yale maelezo. Nimetafuta wee wapi bila mafanikio yoyote, I am very sorry. Nitakutafuta unipe tena maelezo ya jinsi ya kuitengeneza maana inaelekea nayo ni bomba sana.

Toa shukrani kwa aliyekufunza kuipika rafiki, siyo tu kusema haikosekani home, lol!
 
Last edited by a moderator:
Hii nitafanya siku moja ila mama watoto lazima awepo nimpe sapraisi my dada farkhina santeeeee!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Leo tu share pilipili nzuri tu kwa kulia na nyama choma/mishkaki hata samaki huku na ugali wako

Ni rahisi tu.....

Mahitaji

Embe mbichi 5

Pilipili mbuzi

Chumvi kiasi

Tangawizi

Chupa ya kigae kwa ajili ya kuhifadhi pilipili yako...

Saumu

Namna ya kutaarisha.....

Ondoa maembe maganda alafu katakata

Weka kwenye sufuria vitu vyote....

Weka maji kidogo

Chemsha kwa 30 minutes

Wacha ipoe....

Saga mchanganyiko katika blenda

Mimina kwenye chupa..

Hifadhi kwa friji....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kwa nini usitie na mafuta ili kuongeza muda wa kutoharibika..
 
Leo tu share pilipili nzuri tu kwa kulia na nyama choma/mishkaki hata samaki huku na ugali wako

Ni rahisi tu.....

................ asante, nimeprint na my waifu wangu nimeshamkabidhi aifanyie kazi !
 
pilipili hii ni nzuri sana,nimeipenda,asante farkhina.
 
Last edited by a moderator:
Shoga kama ulikuepo na mie hufanya hivo hivo tena kachor za mapande zikauke vile kwarukwaru weee na chupa ya maji baridi paleeee

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hayo mapande kati nayaweka na ndimu niliyochanganya na thomu na pilipili ya unga....we ..mhhh asoweza pilipili lazima chozi limtoke..lol
Ila tusiache kunywa maziwa kwa wale wadau wa 'mbuzi'!!
 
Back
Top Bottom