Leo tu share pilipili nzuri tu kwa kulia na nyama choma/mishkaki hata samaki huku na ugali wako
Ni rahisi tu.....
Mahitaji
Embe mbichi 5
Pilipili mbuzi
Chumvi kiasi
Tangawizi
Chupa ya kigae kwa ajili ya kuhifadhi pilipili yako...
Saumu
Namna ya kutaarisha.....
Ondoa maembe maganda alafu katakata
Weka kwenye sufuria vitu vyote....
Weka maji kidogo
Chemsha kwa 30 minutes
Wacha ipoe....
Saga mchanganyiko katika blenda
Mimina kwenye chupa..
Hifadhi kwa friji....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ni rahisi tu.....
Mahitaji
Embe mbichi 5
Pilipili mbuzi
Chumvi kiasi
Tangawizi
Chupa ya kigae kwa ajili ya kuhifadhi pilipili yako...
Saumu
Namna ya kutaarisha.....
Ondoa maembe maganda alafu katakata
Weka kwenye sufuria vitu vyote....
Weka maji kidogo
Chemsha kwa 30 minutes
Wacha ipoe....
Saga mchanganyiko katika blenda
Mimina kwenye chupa..
Hifadhi kwa friji....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums