Pilipili nzuri ya nyama choma/mishkaki

Pilipili nzuri ya nyama choma/mishkaki

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Leo tu share pilipili nzuri tu kwa kulia na nyama choma/mishkaki hata samaki huku na ugali wako

Ni rahisi tu.....

Mahitaji

Embe mbichi 5

Pilipili mbuzi

Chumvi kiasi

Tangawizi

Chupa ya kigae kwa ajili ya kuhifadhi pilipili yako...

Saumu

Namna ya kutaarisha.....

Ondoa maembe maganda alafu katakata

Weka kwenye sufuria vitu vyote....

Weka maji kidogo

Chemsha kwa 30 minutes

Wacha ipoe....

Saga mchanganyiko katika blenda

Mimina kwenye chupa..

Hifadhi kwa friji....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Haikosekani pili pili hii nyumbani kwangu. Na imetokea kupendwa sana na wengi, Thanks to you farkhina kwa kuwa tayari kutufahamisha maujuzi yako mbali mbali ya jikoni.
 
Last edited by a moderator:
Haikosekani pili pili hii nyumbani kwangu. Na imetokea kupendwa sana na wengi, Thanks to you farkhina kwa kuwa tayari kutufahamisha maujuzi yako mbali mbali ya jikoni.

Usijali siku nkiona uvivu itabidi nije na kibakuli changu nije kudoea lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh...... farkhina unatutoa mate! Honey Faith unaweza hata kutumia ukwaju (uroweke na maji moto)au ndimu usage na hayo alotuelekeza farkhina. ...waweza kula na chips dume ukamaliza bakuli...lol

Ya ukwaju ni kuroeka ukwaju halafu watoa makokwa then unasaga na pilipili na chumvi na saumu chembe 3 zatosha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom