Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
1. HIV -UKIMWI

2. Rhesus

3. Genotype

4.Hepatitis B

5. Hepatitis C

6. Magonjwa sugu

7. Magonjwa ya akili

8. Makundi ya damu

9. Magonjwa ya zinaa

10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba

NB: The spiritual status of both families, wengine wachawi, waabudu sanamu, devil worshipers au wana mikataba na vitu gani sijui Familia haishi mikosi na matatizo zaidi unaweza jikuta wewe ndio kiota cha kutotolea watoto wa kafara kwenye ukoo.
 
Daa mfano ukikutwa nao mmoja wenu itakuwaje
Inategemea, anaweza akawa na HIV mkakubaliana kabla ya kufanya tendo la ndoa mkatumia dawa za kuzuia na akipata mimba vile vile akatumia dawa mtoto asiambukizwe.

Magonjwa kama Hepatitis na Hepatitis C hayo atibiwe, japo ni mziki mwingine.
Rheus ni hatari sana, inabidi ama kabla ya sex achome sindano ku nyutrolaizi hiyo negative.

Magonjwa ya akili ama magonjwa sugu wewe amua mwenyewe, mfano kwao kila mtoto lazma awe kichaa, wewe amua mwenyewe.

lazma waumwe kansa za koo na kizazi, amua mwenyewe. au familia nzima lazma watoto wazaliwe walemavu.
 
1. HIV -UKIMWI
2. Rhesus
3. Genotype
4.Hepatitis B
5. Hepatitis C
6. Magonjwa sugu
7. Magonjwa ya akili
8. Makundi ya damu
9. Magonjwa ya zinaa
10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba

NB:
The spiritual status of both families, wengine wachawi, waabudu sanamu, devil worshipers au wana mikataba na vitu gani sijui Familia haishi mikosi na matatizo zaidi unaweza jikuta wewe ndio kiota cha kutotolea watoto wa kafara kwenye ukoo.
Sasa hayo magonjwa yanaendana je na devil worshipers? Kuna kipimo cha kumjua devil worshiper kupitia hayo magonjwa?.

Nimewaza tu; ukienda kupima magonjwa ya akili afu ukute dakitari ni mgonjwa zaidi yako.. bongo nyoso.
 
Hivyo vitu umetaja hapo ndivyo mitihani yenyewe sasa ambayo ukiwa nayo sasa utaprove kuwa unampenda mtu ya dhati ama unaigiza.

Imagine umepata pisi kali halafu unakuja gundua ina Sickle cell anemia. Unafanyaje utamuacha, sasa hapo ukisamama nae ndipo utaprove mapenzi ya kweli kwake.

Au una mwanamke wako vizuri tu halafu akapata ajali ambayo ikamfanya kupooza mwili mzima, utamuacha na hapo ndoa yenu ina week mbil tu.

Nadhani tujifunze kuwa upendo haunaga standards. Wewe unaweza pima hivyo vipimo vyote na mwanamke wako na mkakuta mpo salama ila ukashngaa ukapata tatizo ambalo likakuacha mgonjwa na hujiwezi hata kidogo, je huyu mpenzi wako atakuwa katika hali gani kwenye kukupenda wewe?!

Nadhani ifike wakati tujue tu kuwa MUNGU ndie anatupa mazingira yake ya kufurahia haya maisha so tumuombe neema na kudura zake ili atuhakikishie furaha muda wote katika hali yoyote ile bila kuyumba sana.
 
Daah tutafika tumechoka sana
 
Aksante mkuu , very touching and inspiring......... Post km hizi zinarudisha tabasamu.
 
Sasa hayo magonjwa yanaendana je na devil worshipers? Kuna kipimo cha kumjua devil worshiper kupitia hayo magonjwa?.

Nimewaza tu; ukienda kupima magonjwa ya akili afu ukute dakitari ni mgonjwa zaidi yako.. bongo nyoso.
Devil worshipper nimeweka kwenye NB maana watanzania wengi tunakwenda miskitini huku kiunoni tumevaa hirizi, tunamwamini shetani kuliko Mungu.
 
Back
Top Bottom