Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Inategemea, anaweza akawa na HIV mkakubaliana kabla ya kufanya tendo la ndoa mkatumia dawa za kuzuia na akipata mimba vile vile akatumia dawa mtoto asiambukizwe.Daa mfano ukikutwa nao mmoja wenu itakuwaje
Hivi wale wenye virusi wanapataje wenza wao?Inategemea, anaweza akawa na HIV mkakubaliana kabla ya kufanya tendo la ndoa mkatumia dawa za kuzuia na akipata mimba vile vile akatumia dawa mtoto asiambukizwe...
Unaweza ukachukua mwenzio mwenye virusi ama kama hana virusi kabla ya kupeana utelezi mnakwenda hospital, mnapata ushauri lakini pia dawa za kutumia kabla na baada ya kuteleza kuelekea ndani na kutoka nje.Hivi wale wenye virusi wanapataje wenza wao?
kizazi hakiishi mayai., myth.Na wale waliotoa mimba mpk kizazi kimeisha mayai unawapimaje
Ila kinaisha nini,...question.kizazi hakiishi mayai., myth.
weka jibu lako ubaki nalo.Ila kinaisha nini,...question.
kwa kutupia mabao mawaili matatu kwenye danger zoneNa wale waliotoa mimba mpk kizazi kimeisha mayai unawapimaje
Sasa si unaweza ukatest miaka na miaka..kwa sbb sio kila danger days zinaweza kukupa jibu chanya..maana hapo kuna ishu za homone imbalance...n.kkwa kutupia mabao mawaili matatu kwenye danger zone
Sasa hayo magonjwa yanaendana je na devil worshipers? Kuna kipimo cha kumjua devil worshiper kupitia hayo magonjwa?.1. HIV -UKIMWI
2. Rhesus
3. Genotype
4.Hepatitis B
5. Hepatitis C
6. Magonjwa sugu
7. Magonjwa ya akili
8. Makundi ya damu
9. Magonjwa ya zinaa
10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba
NB:
The spiritual status of both families, wengine wachawi, waabudu sanamu, devil worshipers au wana mikataba na vitu gani sijui Familia haishi mikosi na matatizo zaidi unaweza jikuta wewe ndio kiota cha kutotolea watoto wa kafara kwenye ukoo.
Daah tutafika tumechoka sana1. HIV -UKIMWI
2. Rhesus
3. Genotype
4.Hepatitis B
5. Hepatitis C
6. Magonjwa sugu
7. Magonjwa ya akili
8. Makundi ya damu
9. Magonjwa ya zinaa
10. Magonjwa ya kurithi11.Vipimo vya uzazi, mbegu za kiume na mirija kuziba
NB:
The spiritual status of both families, wengine wachawi, waabudu sanamu, devil worshipers au wana mikataba na vitu gani sijui Familia haishi mikosi na matatizo zaidi unaweza jikuta wewe ndio kiota cha kutotolea watoto wa kafara kwenye ukoo.
Aksante mkuu , very touching and inspiring......... Post km hizi zinarudisha tabasamu.Hivyo vitu umetaja hapo ndivyo mitihani yenyewe sasa ambayo ukiwa nayo sasa utaprove kuwa unampenda mtu ya dhati ama unaigiza.
Imagine umepata pisi kali halafu unakuja gundua ina Sickle cell anemia. Unafanyaje utamuacha, sasa hapo ukisamama nae ndipo utaprove mapenzi ya kweli kwake.
Au una mwanamke wako vizuri tu halafu akapata ajali ambayo ikamfanya kupooza mwili mzima, utamuacha na hapo ndoa yenu ina week mbil tu.
Nadhani tujifunze kuwa upendo haunaga standards. Wewe unaweza pima hivyo vipimo vyote na mwanamke wako na mkakuta mpo salama ila ukashngaa ukapata tatizo ambalo likakuacha mgonjwa na hujiwezi hata kidogo, je huyu mpenzi wako atakuwa katika hali gani kwenye kukupenda wewe?!
Nadhani ifike wakati tujue tu kuwa MUNGU ndie anatupa mazingira yake ya kufurahia haya maisha so tumuombe neema na kudura zake ili atuhakikishie furaha muda wote katika hali yoyote ile bila kuyumba sana.
Devil worshipper nimeweka kwenye NB maana watanzania wengi tunakwenda miskitini huku kiunoni tumevaa hirizi, tunamwamini shetani kuliko Mungu.Sasa hayo magonjwa yanaendana je na devil worshipers? Kuna kipimo cha kumjua devil worshiper kupitia hayo magonjwa?.
Nimewaza tu; ukienda kupima magonjwa ya akili afu ukute dakitari ni mgonjwa zaidi yako.. bongo nyoso.