Pima kabla ya kuingia kwenye ndoa, usitake kujuta

Vijijiji huko mboana wanaoana na maisha yanaendelea? Au hii inahusu watu wa mjini pekee?
 

Muhimu sana sanaaaaa
 
Tutakua hatuoi sasa
 
Hilo gonjwa namba moja ni Mwenyezi Mungu atuepushe nalokabisa maana hata kama hana na wewe huna unaweza ukaletewa tuu kama Mungu ataamua kukuacha.. ila hayo Mengine yanavumilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…