Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

Great, great, ndoa inapofungwa na wawili inaweza kuvunjwa na mmoja.

Kama zanzibar wanaona wanaonewa wajiondoe mapema wasitubabaishe hata kidogo. KWA VILE WAO NI FIRST BENEFICIARIES AND FIRST COMPLAINERS! NDIYO MAANA WANAJUA NA HAWAJIONDOI NG'oooooooooooo!!

ONDOKENI MWAMBIE KARUME ATANGAZE KUJUIONDOA ILI KAMA TANNANYIKA ITANG'ANG'ANIA BASI uN IIINGILIE KATI ILI MUACHIWE MWENDE KWA WAARABU WENU.

MSITUBABABISHE JIONDOE HARAKA SANA

Wapi Bwana huo ni mtizamo wako lakini wakubwa wako hawana mtizamo huo. Angalia yaondolewe mafuta tu kipovu kinawatoka hawana haya wala soni wakizani Muungano ni Mafuta tu leo Wazanzibari waseme wanajitowa si mauwaji na mafunzo ya kuuwa . Angalia wakati wa uchaguzi tu leo useme kujitangazia kujitowa Muungano. Muungwana ni vitendo kama mmechoka kuambiwa ukweli tangazeni nyie ili Wazanzibari wasage meno kama mnavyodhania.
 
Poleni Ngekewa na Mwiba kwa uchungu wa kutawaliwa; lakini bado sijaona jawabu la kujinasua, ndiyo maana tunasema hiyo ni porojo tupu.

Bwana Mkubwa unataka kunambia kuwa tupo hapa kwa porojo? Sawa inawezekana kwani kwa upande wako kukamata silaha pengine isingekuwa porojo lakini unapojumuisha hata nguvu za kupashana habari ni porojo unaonekana kuwa una tatizo la kufikiri. After all hata wale wabunge nao ni porojo kwani ufisadi bado upo, umasikini bado upo, maradhi hayasemeki, njaa inaumiza. Pengine unataka maneno yawe kama chumvi yatowe matokeo mara yasemwapo? Nahisi si porojo kwani hata wewe yanakuchoma hivyo taratibu wale wasioelewa wataelewa , wale wanaoongozwa na chuki wataipata na wale waliotayari kujenga hoja watafanya hivyo.
Hapa si pahala la kutumia mapanga bali ni pahala pa kueleweshana na yule asietaka kuelewa akijitokeza atakuwa anajifanya mjinga mbele ya Forum
 
Tatizo kubwa ambalo huwa naliona kwa watu wa kipande ile, ni kwamba katika kila argument wanayoleta wanasema wanapigania haki yao. HIVI HAKI YENU NININI? haki yenu ninini hata mnasema hivyo? hivi tz tunafaidika nini na hawa watu wasiofika hata milion moja? mbona mimi huwa nawaona ni kero tupu? kama muungano hawautaki, piga chini tuendelee na maisha kila mtu ya kwake. KITU CHA AJABU wazanzibar huwa wanafikiri watanzania wanaoishi bara wanawategemea kuwa bila wao hawawezi, kwa kifupu NI VIONGOZI WETU TU WANATUBURUTA, hata sisi hatuwataki kama nyinyi hamtaki kuwa pamoja na sisi. duniani kama mtu hataki kuambatana na wewe ni kuachana naye, na kama kuna kiongozi mwingine akiingia hapo nakwambia anaweza akawapiga chini ili muwe watu wa huko shelisheli labda. kama ni mafuta, hivi SIKU MKICHIMBA MAFUTA YAKAWA HAMNA, SISI HUKU BARA TUKACHIME HALAFU TUKAWAAMBIA TUNAVUNJA MUUNGANO mtajisikiaje? mbona akili zenu hazijakombolewa jamani?

Kwanza akili za watu kama nyie ndio hazijakomboka. Kama una akili kwanini ndan ya nyumba moja kila mmoja ana chumba chake ? Si mnakaa nyumba moja? Huo ni mfano tu na nyie wenyewe ndio mliotufunza hivyo. Si nyie mlioamuwa kwa utashi wenu kuwa madini mnayochimba ni yenu peke yenu? sasa la ajabu nini Zanzibar wasitake chao kutumia kwa faida yao.
Kama Muungano nanyi ni kero kwa nini hamuwi pamoja na kuwachagiza viongozi wenu wauvunje? Wazanzibari si waoga kwani wanawachukulia viongozi wao kama watu wengine tu sasa kama nyinyi mnawaogopa kuwaambia viongozi wenu wakuondoleeni hili tatizo la Muungano si kosa la Wazanzibari wakujilaumu ni nyie wenyewe.
Kuhusu suala la mafuta Zanzibar inaamini kuwa hatukuungana kwa sababu hiyo. Mmetumia Madini na Gesi tangu tulipoungana na muungano bado upo hivyo Zanzibar au Bara ikipata mafuta yake haitokuwa tatizo kwani ikiwa bara itakuwa inaendeleza kile ilichozoea cha kutumia chake peke yake na kama yatapatikana Zanzibar itakuwa zamu yao kutumia chao peke yao na huku Bara wakitumia madini yao.
 
"Si mjaribu basi huko mnakotaka kwenda, kisha tujajua kama mmepata au la” amesema Waziri Mkuu.

Maana yake Pinda haamini kama OIC watakubali Zanzibar wajiunge nao. Wajaribu kujiunga,waone kama watajiunga,and then,we will take it from there.
Mwaandishi wa habari anaandika hii taarifa katika njia ambayo ni very sensational,tofauti kabisa na Waziri Mkuu alivyokuwa anaongea[nilikuwa nasikiliza 'live']
Mild statements,kama vile,'sidhani kama wakitoka kwenye Muungano,Wazanzibari watapata faida kubwa sana',ndio yanatafsiriwa kuwa'Wazanzibari wasithubutu kutoka katika Muungano.'' Wanalo Bunge kule,kwa nini wasitoke kama wote wakipatana?
 
Ngekewa JF imekuachia ubwatuke mpaka basi maana una ubishi ule wa waangua madafu; umeshauriwa pamoja na wenzio kuwa; kama hamtaki Muungano jitoeni. Nani kawazuia. Nasisi huku tumewachoka sana; kwanza mnamalilza chakula chetu huku Bara. A fool takes pleasure in expressing his opinion but not listening to others.
 
Who is a fool among us? Wewe usie na hoja au mimi ninaekwambia ukweli? Kunyamaza kwa JF si kwa chengine bali kuelewa ukweli na wewe usietaka ukweli ukifuata msemo wako hapo juu ndio unaamuwa kutowa utumbo mbele ya ukweli.
Muungano ulianzishwa nanyi kwa Nyerere kumfuata Karume na kama inatokea kuwa sasa ishakuwa kero kwenu ni natural kuwa nyie ndio mtakaouvunja.
HOJA INABAKI PALE PALE KUWA WAZANZIBARI WANATAKA KILICHO CHAO na hilo si geni kwani kwa kipindi chote mmekuwa mkitumia chenu kwa ridhaa yenu. Sasa kama kudai chake mtu ni uasi basi na iwe hivyo.
 
"Si mjaribu basi huko mnakotaka kwenda, kisha tujajua kama mmepata au la” amesema Waziri Mkuu.

Maana yake Pinda haamini kama OIC watakubali Zanzibar wajiunge nao. Wajaribu kujiunga,waone kama watajiunga,and then,we will take it from there.
Mwaandishi wa habari anaandika hii taarifa katika njia ambayo ni very sensational,tofauti kabisa na Waziri Mkuu alivyokuwa anaongea[nilikuwa nasikiliza 'live']
Mild statements,kama vile,'sidhani kama wakitoka kwenye Muungano,Wazanzibari watapata faida kubwa sana',ndio yanatafsiriwa kuwa'Wazanzibari wasithubutu kutoka katika Muungano.'' Wanalo Bunge kule,kwa nini wasitoke kama wote wakipatana?

Nakumbuka kusoma kwenye Forum hii jana jinsi baadhi waandishi wa habari wanavyoielekeza nchi kubaya. Sasa unapokuta watu kama MSWAHELO wasio na wakati wa kufikiri mambo yanakuwa mabaya.
Wazanzibari wana haki ya kutowa madai na maoni yao na iwapo maoni hayo ni ya jumla ndio umuhimu unakuwa mkubwa kuyafuatilia na sio kutoleana vitisho.
 
Sawa, sasa madai ni yapi na maoni ni yapi katika hili?
 
Sawa, sasa madai ni yapi na maoni ni yapi katika hili?

HESHIMA MBELE mKUU. nAOMBA USOME HIYO POSTING NILIYOIQUOTE. hAPO HAPAKUWA NA MAONI WALA MADAI BALI NI KUKUBALI KUWA PENGINE WAANDISHI WALITAFSIR VIBAYA MANENO ALIYOSEMA pINDA.
 
Ngekewa JF imekuachia ubwatuke mpaka basi maana una ubishi ule wa waangua madafu; umeshauriwa pamoja na wenzio kuwa; kama hamtaki Muungano jitoeni. Nani kawazuia. Nasisi huku tumewachoka sana; kwanza mnamalilza chakula chetu huku Bara. A fool takes pleasure in expressing his opinion but not listening to others.

hawa Watanganyika wanashangaza sana. bado wana mbinu zile zile tu za ubabe na vitisho. Hivi sasa wameshika bango kueleza wenzao "kama hamtaki Muungano jitoeni". Hii ni mbinu tu ya kukataa kuwasilkiliza wenzao. Wenzao wanaamini kuwa Muungano ni wetu sote na hivyo lazima utufaidie sote sawia. Hawajapatapo kusema hawataki Muungano bali wanapigia kelele kasoro ambazo zinawanyima na wao kunufaika na Muungano huu. Na hizo wanataka
zifanyiwe busara ya kufanyanyiwa marekebisho, ili sote tufaidike. Ni lipi hapo baya? Acheni vitisho Bwana.
 
Nakumbuka kusoma kwenye Forum hii jana jinsi baadhi waandishi wa habari wanavyoielekeza nchi kubaya. Sasa unapokuta watu kama MSWAHELO wasio na wakati wa kufikiri mambo yanakuwa mabaya.
Wazanzibari wana haki ya kutowa madai na maoni yao na iwapo maoni hayo ni ya jumla ndio umuhimu unakuwa mkubwa kuyafuatilia na sio kutoleana vitisho.

HESHIMA MBELE mKUU. nAOMBA USOME HIYO POSTING NILIYOIQUOTE. hAPO HAPAKUWA NA MAONI WALA MADAI BALI NI KUKUBALI KUWA PENGINE WAANDISHI WALITAFSIR VIBAYA MANENO ALIYOSEMA pINDA.

Mkuu Ngekewa heshima mbele pia, kwanza pole kwa haraka maana naona umejikuta ukiandika kwa herufi kubwa pasipo sababu.

Pili, nilivoelewa mimi kwenye hiyo sentensi ulikuwa unatoa maoni ya jumla kuhusu huu mjadala, na paragraph ya kwanza ndo inazungumzia quote ya hapo juu.

Kwa hiyo nadhani bado ningependa kujua 'maoni na madai' ya wazanibari katika hili ni yapi?

tuendelee na mjadala.
 
Muungano ni upuuzi mtupu kwa kuwa hauna manufaa yoyote kwa Tanzania Bara. Nibora uvunjwe ili tuone nani ataadhirika!!~~
 
mbona nyinyi wabara mnaung'ang'ania sana muungano kwasababu mnapata nyinyi faida na mnawafanya wazenji ni wajinga sio
almas dhahabu gas na kila kitu mnacho hamuwasaidii wazenji leo yapo mafuta tena ya uhakika mnajitia ya muungano tena mnajitia iwe siri watu wasijue kama yapo mafuta mafuta kwa taarifa yako hayendi bara hata siku moja kweli waziri kasema wezi majambazi ni watu wa dhula wabara hamna nia njema wezi tena mnaiba mchana zanji itabaki kuwa ya wazenji 2 mkitaka msitake hatuna haja na muungano wa kuibiana
 
Mkuu Ngekewa heshima mbele pia, kwanza pole kwa haraka maana naona umejikuta ukiandika kwa herufi kubwa pasipo sababu.

Pili, nilivoelewa mimi kwenye hiyo sentensi ulikuwa unatoa maoni ya jumla kuhusu huu mjadala, na paragraph ya kwanza ndo inazungumzia quote ya hapo juu.

Kwa hiyo nadhani bado ningependa kujua 'maoni na madai' ya wazanibari katika hili ni yapi?

tuendelee na mjadala.

Ahsante na tuendelee tu lakini tusiwe na jazba! Jee unataka kujuwa maoni ya Wazanzibari katika lipi hasa?
 
Ahsante na tuendelee tu lakini tusiwe na jazba! Jee unataka kujuwa maoni ya Wazanzibari katika lipi hasa?

Sawa sawa jazba hakuna,, enhe, tuseme kuhusu Muungano..uvunjwe ama uendelee kuwepo?
 
Sawa sawa jazba hakuna,, enhe, tuseme kuhusu Muungano..uvunjwe ama uendelee kuwepo?

Msemo wa "umoja ni nguvu utengano ni udhaifu" ni msemo wa Kiswahili na Wazanzibari hilo wanalijuwa. Wazanzibari ukiachia wachache wenye jazba wanaupenda Muungano hivyo jawabu Muungano uwepo.
 
Muungano ni upuuzi mtupu kwa kuwa hauna manufaa yoyote kwa Tanzania Bara. Nibora uvunjwe ili tuone nani ataadhirika!!~~
yaani kama nyote wangelikuwa na akili kama yako basi zamani wazanzibari tungekuwa tunashuka mlima ,si unakumbuka ile picha ya gurudumu la Maendeleo ,ambalo sijui picha ile iko wapi ,lakini ilikuwa sna inatokeza kwenye magazeti ,jamaa anapandisha gurudumu si size yake juu ya mlima. Yaani ndipo tulipo WaZanzibari tunapandisha maendeleo kwenye rundo la mafisadi.
 
Well done PM,but i do not agree with many other jamii members calling mps who were asking questions to be "wanzibaris" or watanganyika".to me it seems to be genueral terms,is not all people fro zanzibar they were asking the same questions,is better to use their name with jimbo name for further quotations.
 
wazanzibari pumbavu kabisa ndiyo maana hamjaenda shule..na wanaotaka sana kuvunjika kwa muungano ni viongozi wenye uchu..
lkn mi pia ntashukuru tu uvunjike ili waarabu waingie rasmi zenji..na tuone kitakachoendelea
 
Kiasi uwatukane Wa-zenj, Bwana rukhsa (Mwinyi) Ustarabu aliupatia zenj ndio akawaletea na kuwatoa kwenye ushamba na ufukara mliokua nao, au bora niseme aliowatia huyo baba yenu wa Tanganyika mnaomwita mtakatifu. Waarabu waingie wapi tena rasmi / IKIWA WAMO TAYARI MPAKA iKULU. Jee kwani huko bara waraabu sio shemeji zenu ?
 
Back
Top Bottom