Pinda: Wingi wa wabunge wa CCM bungeni hauwaondolei uhalali wao kufanya mamuzi kikatiba!

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,807
Reaction score
17,416
waziri mkuu Pinda ameyasema hayo mkoani kigoma katika hadhara iyohudhuriwa na wananchi wachache, wengi wao wakiwa watoto. Nakuongeza kwamba tukatae kurudishwa nyuma na watu wanaotaka vurugu na wasioitakia mema nchi yao..Kwani wabunge wa ccm wamechaguliwa kwa kura nyingi,vile vile rais Kikwete..hivyo maamuz watakayofanya ni kwa niaba ya umma na ni halal.
My Take..

Waziri mkuu anaungana na makada wengi wa ccm wanaofanya kampeni ya kufa na kupona kuhakikisha kuwa rais anasaini mswada wa katiba mpya uliopitishwa kwa mbwembwe na wabunge wa ccm huku ukikosolewa vikal na asas za kiraia pamoja na kukataliwa na wabunge wote wa upinzani.
leo mh. pinda anaungana na mw/kiti wa jumuia ya wazaz wa ccm bw. Abdalah Bulembo anaekebeh kaz kubwa ya tume na kumuonya jaj warioba asiwalishe watanzania maoni na kwamba kaz yake ni kuandaa rasimu ya katiba bhaasi.
maono yangu..

kuna uwezekano mkubwa kuwa rais atasaini mswada huo uwe sheria ili ku keep up na pressure ya akina wasira,pinda, bulembo na chikawe...!
ITV

tym wil tell.
 
hivi wewe unafikiri nini faida ya majority in the parliament kama wachache wanabadilisha maamuzi ya wengi? Rais atasaini tu kwani pamoja na kuwa yeye ni mkuu wa nchi, lakini pia ni mwenyekiti wa chama chenye majority bungeni
 
Ukiwa na akili zilizopinda kama za Pinda huwezi kueleweka hata kidogo.Binafsi sikuwahi kumuelewa Pinda na malengo yake katika Wizara anayoiongoza yaani amekuwa kama mwanasesere vile anachezeshwa chezeshwa na wenye remote control.
 
Hata lizaboni akili zake zimepinda,hajui hili ni bunge la miaka 5 na limechaguliwa na wtz mil 8,hao watz mil kama 40 mna uhalali gani wa kuwatungia katiba ya zaidi ya miaka 200?
 
hivi wewe unafikiri nini faida ya majority in the parliament kama wachache wanabadilisha maamuzi ya wengi? Rais atasaini tu kwani pamoja na kuwa yeye ni mkuu wa nchi, lakini pia ni mwenyekiti wa chama chenye majority bungeni

mkuu Lizabon nakubal kwamba majority decides, lakin katika isue ip na wakat gani? Hiv kwel suala la katiba ni isue ya wabunge wengii au wananch wanataka nin? Unaweza nikumbusha ni lin wabunge wa ccm wameamua kwa maslah ya taifa tokea mwaka 1995?
namuombea rais apate busara katika kipindi hik cha mpito tunapoongozwa na wabunge manya..ngauu..wa ndioo kila kitu.
 
Mwacheni asaini huo muswada. Ila ajue kwamba, 2015 tuaanza upya ikiwa ni pamoja na kuweka kipengele cha kuwasweka ndani wote walio tumia madaraka yao vibaya.
 
hivi wewe unafikiri nini faida ya majority in the parliament kama wachache wanabadilisha maamuzi ya wengi? Rais atasaini tu kwani pamoja na kuwa yeye ni mkuu wa nchi, lakini pia ni mwenyekiti wa chama chenye majority bungeni

Hiyo kauli ya wengi wape kuna mahara pake na sio kwa kila jambo,ccm na wabunge wao wengi hatujawahi kuona wakipitsha jambo lenye masilahi kwa wapiga kura,walisaini mikataba ya madini hakuna maslihi kwa wananchi,walipitsha sheria ya manunuzi haina masilah kwa wananchi,walipitisha sheria ya mafao ya kujitoa haikuwa na masilahi kwa wananchi,wakapitisha sheria ya rushwa kuwa takrima nayo ni tatzo,wamepitisha sheria ya kodi ya simu ni kilio kila kona,natafta faida ya wingi wa wabunge wa ccm katka taifa hili sioni.
 
Kwa akili yako ya kibavicha unataka itumike njia ipi,
walipiga kura za ndiyo wakashindwa,
wakahesabu napo wakashindwa au ulitaka njia ya kutoka bungeni ndiyo itumike?
 
hata lizaboni akili zake zimepinda,hajui hili ni bunge la miaka 5 na limechaguliwa na wtz mil 8,hao watz mil kama 40 mna uhalali gani wa kuwatungia katiba ya zaidi ya miaka 200?

mkuu usihangaike na wasioelewa hata wanachokiunga mkono , jikite kwenye mada .
 
Kwa akili yako ya kibavicha unataka itumike njia ipi,
walipiga kura za ndiyo wakashindwa,
wakahesabu napo wakashindwa au ulitaka njia ya kutoka bungeni ndiyo itumike?

Itumike ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM inayoongozwa na Primary School Graduate,Abdallah Bulembo!!??
 
Jk amesaini mswada jana hakuna mjadala tena hatuwezi kuwa na taifa linaloongozwa kwa mashinikizo.
 
Hiyo kauli ya wengi wape kuna mahara pake na sio kwa kila jambo,ccm na wabunge wao wengi hatujawahi kuona wakipitsha jambo lenye masilahi kwa wapiga kura,walisaini mikataba ya madini hakuna maslihi kwa wananchi,walipitsha sheria ya manunuzi haina masilah kwa wananchi,walipitisha sheria ya mafao ya kujitoa haikuwa na masilahi kwa wananchi,wakapitisha sheria ya rushwa kuwa takrima nayo ni tatzo,wamepitisha sheria ya kodi ya simu ni kilio kila kona,natafta faida ya wingi wa wabunge wa ccm katka taifa hili sioni.

.
.
.
.
.
mkuu umetiasha mbaya

baasi,..........

nimelike

sisemi nitaharibu
 
Ugomvi uliyopo si uwingi wa wabunge wa CCM bali nipale ambapo wabunge CCM wanapotumia uwingi wao kukitetea chama badala ya wananchi.
 
Back
Top Bottom