Mkuu umenielewaa vibaya..however democracy haimaanishi wengi wape tuu, pia how you treat minority count a lot. Akili za wanasiasa wanafahamu democracy ni katika kipindi cha uchaguzi tu.
BTW pinda ni Mzigo katika hili taifa, hana impact yoyote nafasi yake inaonekana kama ceremonial position kiasi kwamba akienda sehemu kama Arusha akina mama wanamuona Lema mkombozi bila kujua Pinda ana nguvu ya kuleta mabadiliko ya harka kuliko Lema
Pinda ni aina ya wale watu waliokuwa waoga na wenye akili darasani (za kukariri), akiambiwa fanya hivi anafanya bila kushirikisha ubongo, in short pinda ni aibu kwa taifa.
Mkuu with all due respect, the truth cannot be denied or bent to suit ones whims.
Pinda kasema kweli na hilo halina ubishi.
Na pengine yaliyotokea yatakuwa fundisho kubwa kwa vyama vidogo vyenye uwakilishi bungeni.
Kususia Bunge was actually a blunder on the part of CHADEMA an Co.
Kama kuingia chupa, basi CHADEMA and Co wameingia sawia ndani ya cgupa ya CCM, na hakuna maandamano wala kelele zitakazobadilisha ukweli huo.
Busara ilikuwa inataka vyama vya upinzani waende sambamba katika mjadala ambao ulikuwa haujaisha anyway.
Ingetupendeza hata sisi wana CCM tunaopendelea serikali tatu.
Lakini kwa fujo zilizoonekana bungeni , na yaliyojiri mikutanoni, matusi na vingine vingi havitawasaidia sana CHADEMA kupata kile wanachotaka kijadiliwe, kwa vile kama ni ubabe hata CCM wako wababe, kama ni uhuni hata CCM wako wa aina hiyo.
Busara zaidi inatakiwa , na lazima kuwe na situation ya give and take, katika negotiations ya Tanzania ile tunayoitaka.