Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuongea kama umevurugwa tatizo lenu bavicha kila kitu manaweka ushabiki mnataka wabunge wa ccm wakubaliane na hoja za akina mbowe za kuleta fujo bungeni na kupigana bila hata ya kuheshimu kiti cha spika kitu ambacho ni ujuha mkubwa sana.Ugomvi uliyopo si uwingi wa wabunge wa CCM bali nipale ambapo wabunge CCM wanapotumia uwingi wao kukitetea chama badala ya wananchi.
hivi pinda naye mnamuita kiongozi!
Nyie mamburula wa kisiasa sijui lini mtaelewa utaratibu wa kutunga sheria.waziri mkuu Pinda ameyasema hayo mkoani kigoma katika hadhara iyohudhuriwa na wananchi wachache, wengi wao wakiwa watoto. Nakuongeza kwamba tukatae kurudishwa nyuma na watu wanaotaka vurugu na wasioitakia mema nchi yao..Kwani wabunge wa ccm wamechaguliwa kwa kura nyingi,vile vile rais Kikwete..hivyo maamuz watakayofanya ni kwa niaba ya umma na ni halal.
My Take..
Waziri mkuu anaungana na makada wengi wa ccm wanaofanya kampeni ya kufa na kupona kuhakikisha kuwa rais anasaini mswada wa katiba mpya uliopitishwa kwa mbwembwe na wabunge wa ccm huku ukikosolewa vikal na asas za kiraia pamoja na kukataliwa na wabunge wote wa upinzani.
leo mh. pinda anaungana na mw/kiti wa jumuia ya wazaz wa ccm bw. Abdalah Bulembo anaekebeh kaz kubwa ya tume na kumuonya jaj warioba asiwalishe watanzania maoni na kwamba kaz yake ni kuandaa rasimu ya katiba bhaasi.
maono yangu..
kuna uwezekano mkubwa kuwa rais atasaini mswada huo uwe sheria ili ku keep up na pressure ya akina wasira,pinda, bulembo na chikawe...!
ITV
tym wil tell.
Acha kuongea kama umevurugwa tatizo lenu bavicha kila kitu manaweka ushabiki mnataka wabunge wa ccm wakubaliane na hoja za akina mbowe za kuleta fujo bungeni na kupigana bila hata ya kuheshimu kiti cha spika kitu ambacho ni ujuha mkubwa sana.
Huyu Mzee si akafuge nyuki tu..........! Sijawahi kuona akifanya maamuzi magumu hata siku moja!! Kazi yake ni kulopoka, kulia ku sympathize............!
Mkuu you are always off point.Siku zote huyu anaropoka, hajawahi hata siku moja kutoa kauli yenye mshiko, "Mafisadi wa EPA ni matajiri wakubwa sana nchini kama watakamatwa basi nchi itawaka moto." Hana alijualo zaidi ya kupayukapayuka bila kufikiri.
Kwa akili yako ya kibavicha unataka itumike njia ipi,
walipiga kura za ndiyo wakashindwa,
wakahesabu napo wakashindwa au ulitaka njia ya kutoka bungeni ndiyo itumike?
Acha kuongea kama umevurugwa tatizo lenu bavicha kila kitu manaweka ushabiki mnataka wabunge wa ccm wakubaliane na hoja za akina mbowe za kuleta fujo bungeni na kupigana bila hata ya kuheshimu kiti cha spika kitu ambacho ni ujuha mkubwa sana.
Kwa akili yako ya kibavicha unataka itumike njia ipi,
walipiga kura za ndiyo wakashindwa,
wakahesabu napo wakashindwa au ulitaka njia ya kutoka bungeni ndiyo itumike?