Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

ZANZIBAR siyo nchi na haitatokea iwe nchi, you either unite or occupied by force. so you have to weigh the two options.
Unajidanganya ila sio mbaya hayo ni mawazo yako wala sikupingi mana kama nyinyi mupo wengi sana
 
Unishani unakuja pale ambapo unapotaka kuelezwa jambo ukaleta ubisi na hii JF sio yako na wala sio mali yako huu ni uhuru wangu ilimradi tuu matusi sitoi soo kama umeshindwa kujibu wewe hujalazimishwa
 
Imekuwa ikisemekana Zanzibar ni nchi lakini hivi karibuni imeonekana huenda sio nchi, wala dola, wala nchi iliyo huru bali ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wiki iliyopita wakati CAF wakiifutia Zanzibar uanachama walihoji kama kuna nchi duniani inaitwa Zanzibar inayojitegemea na mambo yake binafsi kama Sudani Kusini. Wakaangalia na ramani ya dunia kama kuna nchi inaitwa Zanzibar hawakuiona bali waliishia kuiona Tanzania tu.

So wale wanaosema Zanzibar ni nchi hili wanalitoa wapi?
Kuwa na Rais na Bendera kunawasaidiaje kuwa nchi inayotambulika?
 
Siyo kweli kuwa imegundulika hivi karibuni ila ni toka mwaka 1964 ilipokubali kupoteza hadhi yake kama nchi!
 
Wa-Africa hatuna AKILI zipo za kushikiwa tu kwa kuikataa ZNZ kutambulika.


UNITED KINGDOM ni Nchi moja inayotokana na sehemu Tatu
1)England
2)Scotland
3)Wales

Na hizo zote zinajiwakilisha zenyewe ukija kwenye INTARNATIONAL CUP kama World cup na Euro Cup ..............
Hapo tofauti ikwapi na ZANZIBAR na Jamhuri ya muungano Tanzania .




Zimwi likujualo......
 
Zanzibar sio nchi
Nchi ni Tanzania, ambayo ndani yake kuna Zanzibar na Tanganyika/Tanzania bara
 
Mkuu zanzibar ni koloni letu, haiwezi kuwa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…