Imekuwa ikisemekana Zanzibar ni nchi lakini hivi karibuni imeonekana huenda sio nchi, wala dola, wala nchi iliyo huru bali ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Wiki iliyopita wakati CAF wakiifutia Zanzibar uanachama walihoji kama kuna nchi duniani inaitwa Zanzibar inayojitegemea na mambo yake binafsi kama Sudani Kusini. Wakaangalia na ramani ya dunia kama kuna nchi inaitwa Zanzibar hawakuiona bali waliishia kuiona Tanzania tu.
So wale wanaosema Zanzibar ni nchi hili wanalitoa wapi?
Kuwa na Rais na Bendera kunawasaidiaje kuwa nchi inayotambulika?