Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

Zanzibar ni wilaya tu. Kama tandahimba.katika historia na geographia sijawahi kuona nchi kama hiyo.ukweli lazima usemwe.
Kama mnabisha tukamuulize Nyerere na Karume
 
ndio maana kuna yule waziri wetu aliyesema tanzania ni muungano wa tanganyika na zimbabwe.
vere konfyuzingi wajameni.
 
Nchi gani ambayo mengi ya mambo yake yanapangwa na upande mwingine..
Hamna Nchi pale.


Hayapangwi pale yanapangwa na Muingereza , Mapinduzi yaliratibiwa na waingereza na waliwahadaa akina Shamte na serikali yake kwa kuwapeleka Tanganyika eti watasuluhisha huu mzozo , badala yake walimpa green light Nyerere na kanisa katoliki kuwafunga jela Tanganyika na wakampokea Mfalme kwa Red carpet na muingereza akaleta ndege kumchukua.

Huyo Waziri Mkuu Shamte aliwekwa gerezani Tanganyika bila kufikishwa mahakamani, yeye pamoja na mawaziri wake kabla hata huo uitwao muungano haujaundwa.

Hapa hakuna chengine ila ni UVAMIZI WA TANGANYIKA KWA ZANZIBAR lakini WATANGANYIKA wajue kuwa nchi yao inateseka kwa sababu ya uvamizi huu.

Lengo la muingereza ni kuwa huko mbeleni kutatokea la kutokea ili apate urahisi wa kuutanua mrija wake , kwani anajua katu Wazanzibari hawawezi kuukubali muungano huu.
 
ni kama mke mtu akiolewa akisumbua unamtia taraka lakini ukimpenda hata alete ukorofi utamtia makwenzi na maisha yaendelea akiendelea kupewa mambo kunako 6*6


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo nilikuwa nabisha lakini sasa nimeamini kwamba Zanzibar inatawaliwa na Tanganyika .

Hivi kwa dunia ya sasa inaruhusiwa kutawala nchi nyingine kwa mabavu ?
 
Back
Top Bottom