Bepari la bariadi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 420
- 671
Ni eneo la nchi ya Tanzania (Jamuhuri ya Muungano)Kama Zanzibar sio nchini ni nini?
Basi ni wilaya pekee yenye raisi bendera na jeshi i can say ts the best district among of themZanzibar ni wilaya tu. Kama tandahimba.katika historia na geographia sijawahi kuona nchi kama hiyo.ukweli lazima usemwe.
Kama mnabisha tukamuulize Nyerere na Karume
Nchi ilikuwa zamani.Kama Zanzibar sio nchini ni nini?
Sasa rais wa nini mbona tanganyika haina raisZanzibar sio nchi
Nchi ni Tanzania, ambayo ndani yake kuna Zanzibar na Tanganyika/Tanzania bara
Nchi gani ambayo mengi ya mambo yake yanapangwa na upande mwingine..
Hamna Nchi pale.
Tena hii wilaya ina upendeleo hasaa inamiliki mpaka na jeshiBasi ni wilaya pekee yenye raisi bendera na jeshi i can say ts the best district among of them
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama zanzibar ina rais kwa nini tanganyika nayo haina rais wake?Nchi ilikuwa zamani.
Kipindi kile cha TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
SIKU HIZI KUNA TANZANIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Tena hii wilaya ina upendeleo hasaa inamiliki mpaka na jeshi
Ile nyingine inaitwa tanganyika mbona haina vitu hivi
Huu muungano.haueleweki.ukihoji.utaunganishwa na UAMSHO.Sasa kama zanzibar ina rais kwa nini tanganyika nayo haina rais wake?
Kwahiyo kuna Tanzania na Zanzibar? Tanganyika ipo wapi?Nchi ilikuwa zamani.
Kipindi kile cha TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
SIKU HIZI KUNA TANZANIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala hujakosea ni kama meya wa jiji au mkuu wa mkoaSo dk Shein ni kama meya tu wa zanzibar ππ
Kuwa na raisi hakumaanishi Zanzibar ishakuwa nchiSasa rais wa nini mbona tanganyika haina rais