Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

Sasa rais wa nini mbona tanganyika haina rais
Zanzibar sio nchi lakini ina Rais wake, Tanganyika ninchi lakini haina Rais ndo maana inasherehekea uhuru wake, yaani maajabu haya ulimwenguni unayakuta Afrika tu ni maajabu ambayo mimi nashindwa hata kushangaa
 
Tanganyika yetu iko wapi sasa na rais wake ni yupi
Au ni upendeleo tu
 
Kwa sababu Tanganyika sio nchi. Nchi ni Tanzania na Zanzibar ni mkoa kama ilivyo Tabora na Lindi...tehe tehe tehe!

Atakayewaza kuuvunja muungano atavunjika yeye.
Mkoa tangu lini ukawa na rais anaechaguliwa na wapiga kura
Mbona Tabora na lindi hiyo kitu hamna
 
Zanzibar sio nchi lakini ina Rais wake, Tanganyika ninchi lakini haina Rais ndo maana inasherehekea uhuru wake, yaani maajabu haya ulimwenguni unayakuta Afrika tu ni maajabu ambayo mimi nashindwa hata kushangaa
Teh teh teh teh hahahaaaa

Kweli atakayejaribu kuvunja atavunjika yeye

Hili ni ajabu la ajabu duniani
 
Tanganyika Haina Raisi. Huyu aliyeko Madarakani ni wa Mwungano. Ndiyo maana hata Zanzibar walimpigia kura. Viongozi wa Tanganyika ni kuanzia Waziri Mkuu na Mawaziri wote ambayo hawako ndani ya Serikali ya Mwungano. Kumbuka kuwa ni Wizara 4 (Ulinzi, Fedha, Mambo ya Ndani na Mambo ya Nje) ndo za ziko ndani ya Mwungano wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hizo ni sheria za kulazimishana. Kwani Zanzibar ilitoka vipi kwenye UN ??? unaweza ukathibitisha barua ya kutolewa UN ??
 


Sio muungano wetu huo ni Uvamizi wetu
 
Siku siyo nyingi mtakuja kulia na kusaga meno.
Mtakuja kujutia hata kwanini Mzee Nyerere alifikiria kuileta Zanzibar kwenye Muungano.
Hakuna Marefu yasiyo na ncha: Hii ni kanuni ya kihistoria.
Ondoa mkwara mbuzi wako hapa, jaribuni kuleta fyoko muone!
 
hivi unajua kuwa ukuwa wa ardhi ya zenji nindogo kuliko wilaya ya tandahimba? hata huwezi kufananisha na mkoa. nakumbuka yule mbunge aliyesema kule zenji mtu akiwa jimbo hili akitoa harufu mbaya inasikika jimbo lingine,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…