Pindi Chana hafai kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo

Siku hz ccm na serikali yake wameona TISS ndo roho yao, ukienda kwa watendaji kata 70% ni hao hao... Makatibu tarafa ni hao hao, wakuu wa wilaya ni hao hao, makatibu tawala wa wilaya, ni hao hao.. wakuu wa mikoa nao pia...hii yote ni uoga wa kimadaraka tu, inapelekea hata sehemu inayohitaji mtaalamu wa hiyo fani basi anaachwa analetwa kada wa ccm na ambaye ni TISS... Kwahiyo nchi nzima wamejazwa jazwa wao tu hata kama uwezo huo hawana .. na wengi wao kwenye hiyo idara kichwani ni weupe sana, na ndo maana nchi haisogei kimaendeleo.. ni wapigaji na wakifanya ufisadi wanahamishwa hamishwa tu...
 
Kwenye Katiba mpya tumeweka kitu ili kukomesha huu uchafu
 
CCM ukisha ingia kundini basi wewe na kizazi chako mtaendelea kuwa kundini, wanaogopa wakikutoa utatoa siri ya hela kupelekwa China.
 
Naunga mkono hoja. Pindi Chhana Hana uwezo wa kuwa waziri. Labda arudi kwenye kazi za CCM tu
 



Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze kutafuta watu wengine nje ya hawa watu wa TISS au watoto wa viongozi.
.....
kuna ulazima gani wa yeye kuwa Waziri wakati hana Uwezo , mbona Makada wa ccm huko Tiss na Kwingineko wako wengi tu , si wapachikeni wenye uwezo basi ?
 
Hafai Wizara yeyote Huwa haeleweki anachofanya akae pembeni tuu.

Na hisi hiyo rangi yake anaitumia Kwa wale walio karibu na Rais
 
Vigezo vyako vya uwezo wa uwaziri ni vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…